Search results

  1. K

    Prof Muhongo: umasikini wetu utatokomezwa na njia zifuatazo

    UMASKINI WETU UTATOWEKA KWA VITENDO: Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Viwanda vya kisasa na Ukuaji wa Uchumi wa kisasa maana yake ni matumizi makubwa ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Mwaka 2020, Nchi 5 zenye utajiri mkubwa Duniani: (1) China GDP ya US$ Trilioni 24.6, (2) USA: Trilioni 23.3, (3) India...
  2. K

    Uongozi wa Kimataifa Prof. Muhongo awapigania

    PROF MUHONGO AWAPIGANIA WATANZANIA KUPATA UONGOZI WA JUU KABISA WA KIMATAIFA: Injinia J. Joseph ameanza kazi ya Mkurugenzi Mkuu (MD) wa Rusumo Power Co Ltd, Kigali. Huu ni mradi wa umeme wa Tanzania, Rwanda na Burundi. Awali Tanzania ilitupwa nje lakini Prof Muhongo akahakikisha tunashinda...
  3. K

    Kuisaidia nchi yetu

    "Kama tunataka kuisaidia nchi yetu hatutazungumza majina ya watu sasa hivi. Tutazungumza masuala yanayokabili taifa letu kwanza" (Hayati Mwalimu J.K.Nyerere) "Nataka kanuni za uchaguzi na maadili ziheshimiwe ili kupata viongozi ambao hawatatokana na rushwa" (Ndugu Philip Mangula, 2014)...
  4. K

    Muhongo: upungufu mkubwa wa maji ifikapo 2030

    TANZANIA IJAYO-KUJITAYARISHA KUKABILIANA NA UPUNGUFU MKUBWA WA MAJI IFIKAPO 2030. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zitakumbwa na UPUNGUFU mkubwa wa maji ifikapo 2030 (water scarcity=annual water supplies drop below 1,000 cu.m. per person). Ripoti ya World Water Assessment Program (WWAP) ya March...
  5. K

    Muhongo: Kila wakazi 10,000

    TANZANIA IJAYO - AFYA IMARA NA UCHUMI IMARA: Takwimu za WHO za 2013 zinaonyesha idadi ya madaktari kwa kila wakazi 10,000 (no of physicians per 10,000 population) kati ya Mwaka 2005 na 2012 kama ifuatavyo: (1) Cuba: 67.2 per 10,000 population, (2) Brazil: 17.6, (3) China: 14.6, (4) India: 6.5...
  6. K

    Prof Muhongo; Formular ya kuachana na Umaskini

    FORMULA YA KUACHANA NA UMASKINI: Nchi zilizofanikiwa kutokomeza umaskini zimetumia formula ifuatayo: Mafanikio Makubwa Kiuchumi = Maarifa (Sayansi) +Teknolojia+Ubunifu+Raslimali Fedha + Raslimali Watu. Elimu yenye uelewa mzuri, kilimo cha kisasa, afya bora, mishahara mizuri na pensheni...
  7. K

    Prof Muhongo; Mkutano wa Viongozi Vijana wa Africa na China

    MKUTANO WA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA, Arusha: Prof Muhongo ametoa MADA inayosisitiza ushirikiano wa kiuchumi. Ushirikiano wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ni muhimu kuboresha mazao ya biashara ya Afrika. Ushirikiano wetu ulianza 206 BC (Silk Route). Karne ya 14 Ibn Batuta (Moroko)...
  8. K

    Prof Muhongo: Mkutano wa Viongozi Vijana wa Africa na China

    MKUTANO WA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA, Arusha: Prof Muhongo ametoa MADA inayosisitiza ushirikiano wa kiuchumi. Ushirikiano wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ni muhimu kuboresha mazao ya biashara ya Afrika. Ushirikiano wetu ulianza 206 BC (Silk Route). Karne ya 14 Ibn Batuta (Moroko)...
  9. K

    Prof. Muhongo: Nimeshafanya uamuzi

    "Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"
  10. K

    Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

    Federation of Miners Association of Tanzania (FEMATA) kwa kauli moja wamemteua Prof Sospeter Muhongo kuwa MSHAURI MKUU wao. FEMATA ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake. Prof Muhongo ndiye aliyetengeneza Ramani ya kisasa ya...
  11. K

    Prof. Muhongo azidi kung'ara

    Umeme wamng'arisha Muhongo Aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ameendelea kupanda chati ya kiutendaji baada ya wanavijiji kupongeza huduma ya umeme vijijini. Wanavijiji wameripotiwa kukiri kutokutegemea kama siku moja wangaliunganishiwa umeme kwa bei nafuu ya...
  12. K

    Prof. Muhongo anakubalika kwa wanavijiji nchini kote kwa nishati ya Umeme

    UMEME VIJIJINI – PROF MUHONGO AKUBALIKA KWA WANAVIJIJI NCHINI KOTE Ujerumani wakati inaitawala Tanganyika ilianzisha usambazaji wa umeme mjini Dar Es Salaam Mwaka 1908. Uingereza ilipoitawala Tanganyika ilianzisha Idara ya Serikali ya kushughulikia umeme Mwaka 1920. Kampuni ya Tanganyika...
  13. K

    Msaada tiba ya henia, hasa wakati wa baridi, sehemu za siri huuma.

    Wakuu, naomba kuwasilisha kwenu tatizo hili, wakati wa baridi, sehemu za korodani hujaa vimaji kidogo, ambavyo hupelekea kuhisi kaama kichomi, na kuuma, tiba yake hasa ni nini? wengine huita mshipa wa ngiri au mchango. Nawasilisha.
  14. K

    Msaada wa sheria anaumwa kansa ya damu iliyosababisho na mgodi n. Mara

    Ndg wana JF, mpendwa wangu anaumwa kansa ya damu na amelazwa bugando, ambayo imesabishwa na kufanya kazi katika mgodi wa north Mara, kama kibarua akiwa anajitafutia riziki, naomba nisaidiwe kisheria ni fanyeje? ili angalau iwe fundisho kwa hawa wamiliki ili tuokoe watanzania wenzetu.
  15. K

    Tiba ya kansa ya damu (saratani)

    Ndugu, wanaJF naomba kwa wale wenye uelewa wa tiba ya saratani ya damu, maana kaka yangu amepima amebainika kuwa nayo, na amelazwa hoptali ya rufaa ya Bugando. Chanzo chako inawezekana ni kutoka mgodi wa North Mara, maana alifanya kazi eneo la plant kwa muda wa mwaka mmoja, ameandikiwa dawa...
  16. K

    Rais Kabila anena, rushwa ipo na itaendelea kuwepo

    Hayo ni maneno ya Raisi Kabila, kupitia taarifa ya habari ya saa 2 usiku trh 19-11-2012. 1. Je nani mwenye dhamana kubwa ya kupambana na Rushwa? kama Raisi kama huyu anaihararisha? 2. Kama yeye Raisi analalamika na ndiyo mwenye dhamana ya kulinda haki za raia wake, je huu ni udhaifu wa kuongoza...
Back
Top Bottom