Search results

  1. Jtoss

    I am looking for a job (accounting/audit/marketing/finance

    Hi all Am John Toss, a holder of Bachelor degree-Accounting. Strong in ERP software (SAP and ORACLE 6i), Quick book, Focus, Peachtree and Wings Ex. Having over 3 years of Experience in the field of Accounts, Finance, Auditing, Management and Marketing. Now looking to start a new challenging...
  2. Jtoss

    1c program

    Kama unaprogram hiyo ni pm nikupe lecture ya hiyo kitu 1c 8.1 au 8.2.Program hizo huwa zinauzwa
  3. Jtoss

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    mKUU NATAMANI UTAKAPOANZA KUTEMBEA UCHI NIJE NISHUHUDIE MAANA JAMAA KASHACHUKUA JIMBO
  4. Jtoss

    Joining instructions Vyuo Vya Afya 2015/2016.Tiari Zko hewani

    Aliyebahatisha kuifungua atupie hapa hata mim nimejaibu kuifungua haikufunguka
  5. Jtoss

    Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    ndio mkuu nimesomea nje ya nchi
  6. Jtoss

    Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    Sina CPA.Ni mwanachama wa ACCA nipo ngazi ya Proffessional,nimepumzika kwa mda pesa zimekata mkuu.
  7. Jtoss

    Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    Tuwasiliane mkuu kama upo tayali kufanya kazi na mimi.Information zote utapewa usijali.Nina shahada ya ukaguzi na uhasibu kama maelezo yangu yalivyo.
  8. Jtoss

    Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    yeah,yanatambulika kisheria mkuu.
  9. Jtoss

    Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    Shukrani nimetoa, email yangu mkuu kama mtu atanihitaji tuwasiliane hata kwa pm
  10. Jtoss

    Natafuta kazi: Nina shahada ya Ukaguzi na Uhasibu

    Habari za wakati wana JF,ninatafuta kazi ya kuniwezesha kuishi mjini,nina shahada ya ukaguzi na uhasibu nimehitimu mwaka huu,nipo tayali kufanya kazi dar es Salaam na mikoani,Ila kwa sasa naishi Dar es Salaam.Atakayekuwa tayali kufanya kazi na mim tuwasiliane kwa email josephtoss84@yahoo.com.
  11. Jtoss

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Kwa nini mwanangu huna nidhamu-Dudu baya.
  12. Jtoss

    Napokaribia kufika kileleni naanza kuunguruma

    Maadamu miliyo hiyo ipo kwenye simu hebu tupia hapa jamvini tuisikie.
  13. Jtoss

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    pole sana ZZK Bwana akutie nguvu wakati huu wa kuondokewa na mama mzazi
  14. Jtoss

    Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    MUUNDO WA MADARAJA MUUNDO WA ZAMANI MUUNDO MPYA MAELEZO POINTI DARAJA POINTI DARAJA 7-17 1 7-17 I Kundi la ufaulu uliojipambanua na bora sana 18-21 II 18-24 II Kundi la ufaulu mzuri sana 22-25 III 25-31 III Kundi la ufaulu mzuri na wa wastani 26-33 IV 32-47...
  15. Jtoss

    Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Angalia hapa MATUKIO-MICHUZI: TAARIFA MAALUM KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI:UPANGAJI WA VIWANGO VYA ALAMA, MATUMIZI YA ALAMA ENDELEVU YA MWANAFUNZI NA UFAULU
  16. Jtoss

    Wanaume wenzangu,acheni tamaa na watoto wa vyuo,wameungua.

    Ni kweli kabisa, vyuoni watu wanagegedana aheri uswahilini,kali kuliko yote ni pale binti wa chuo anakuwa na boyfriend wanaishi kama mke na mme lakin sio waaminifu na hapo ndo balaa AIDS nje nje kutokana na kuaminiana baina yao na hawakumbuki hata hiyo kondom.
  17. Jtoss

    Jf

    必ずこれは神に信頼する者のために成功した年である
  18. Jtoss

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    zito kabwe
  19. Jtoss

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Hii ni michezo inayochezwa kila mahari mtu anaamua kujitoa kafara kwa niaba ya kusafisha kundi fulan kwa makubaliano maalumu, kwa akili ya kawaida ni vigumu kugundua haya.
  20. Jtoss

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Kete ambayo watakosea chadema ni maamuzi ya kuwafukuza uanachama zzk na kitila baada ya siku 14 kuisha hapo ndo ile ndoto ikulu 2015 waisahau.Wapo vijana wengi wamependa siasa kwa kufuata watu fulani fulani ndan ya chadema.Mfano mwenyewe huwa napenda kuwasikia watu kama Tundu Lisu,ZZK na Mnyika...
Back
Top Bottom