Search results

  1. A

    Msaada wa kiafya: Maumivu ya kifua yananisumbua (1)

    Mkuu habari, hili tatizo kama ulipona naomba kufahamu uliponaje, kuna mtu ana tatizo kama hili
  2. A

    Kiufupi hali ya uchumi ni ngumu sana , Mpaka Ma-radio yanategemea hela za kamari kuendesha shughuli zao na kulipa mishahara kwa wafanyakazi wake

    Hata mimi aisee...clouds imekuwa too much! Kamari siku nzima! Japo wenyewe hawataki waitwe wanachezesha kamari...kuna siku mshindi alisema nashukuru kushinda hii kamari, walimsahihisha fasta. Yani buku buku zetu zinatafutwa kwa kila namna!! Yakimaliza maredio sijui wataibuka wakina nani!
  3. A

    Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Hiyo ni kutokana na wewe unavyotumia line yako ndio wanakupangia vifurushi. Mimi Wife anapata kama huyo ila mimi gb 1 lazima niwe na elfu 3...tigo hao hao!!
  4. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Huu ndio uthibitisho kuwa honi kuna wakati ni karaha..bora za barabarani sio hizi za kufunguliwa geti Mkuu.
  5. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Ugumu sijui huwa uko wapi, labda wapigaji wa honi wanaweza kutueleza sababu za msingi hadi kusumbua wengine hata nyakati za usiku.
  6. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Hii nayo kero nyingine...mtu anaokota kipande cha jiwe anaanza kugonga...hivi vile vikengele vya nje ya mageti vya kubonyeza vilipotelea wapi? Au vipi sehemu maalum!
  7. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Honi ipo ndio, bila honi geti haliwezi kufunguliwa, vipi usumbufu kwa wengine?
  8. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Zaidi ya kuruka ukuta na kupiga honi hakuna option nyingine?
  9. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Aisee...sasa uzungukwe na majirani watatu tu wa hivi, hapa upo ndani kwako lakini unajua fulani ndio anarudi sasa hivi.
  10. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Hizi mkuu ni kesi nyingine....hawa sasa dereva naona huwa hawanaga chaguo lingine, honi zitapigwa kwa dakika kadhaa, kabla dereva hajaamua kuondoka.
  11. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Mkuu nadhani hujakutana na mtu anayepiga honi mfululizo kama anataka kugonga mtu kumbe anaingia ndani kwake!!
  12. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Ahahah...mkuu lengo sio kujua nani ana gari nani hana....wengine hata wakirudi na usafiri wa kulipia mfano Uber nk, honi zipo pale pale
  13. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Tatizo sio kama mtu ana gari au hana...mimi nazungumzia huo utaratibu wa wengi ulivyo, binafsi sipigi honi nikiwa nje ya geti, siwezi kuleta usumbufu kwa majirani sababu naingia kwangu.
  14. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Habari Wakuu! Kuna hii tabia ya Watu wanaoishi katika Nyumba zenye mageti, pindi wanapokuwa wanarudi majumbani mwao kuanza kupiga honi (wakati mwingine mfululizo) ili wafunguliwe mageti, hasa hizi nyumba ambazo mageti yake hufunguliwa na Mmojawapo wa mwanafamilia na sio Mlinzi. Hivi kuna...
  15. A

    Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

    Nilijiunga kifurushi kama chako kwa 20k, mtandao huo huo, ilikuwa tarehe 1, leo nina gb 4 zinakimbilia gb3!! Una Dk800 Mitandao yote+ Dk700 LONGA NAE+GB10+SMS500 kwa Siku30@20000Tsh. (VAT 3050.85Tsh, thamani yake 16949.15Tsh). Piga *102*00# kuangalia salio
  16. A

    SMS za Account Namba zimekuwa Blocked na Mtandao wa Tigo?

    Kumbe! Mana mimi Account namba ni CRDB...na kwa nini iwe CRDB tu? Kuna nini kati ya CRDB na Tigo!
  17. A

    SMS za Account Namba zimekuwa Blocked na Mtandao wa Tigo?

    Asante, pole na wewe pia kwa usumbufu huo mkuu
Back
Top Bottom