Hapo juu mbona kama tutakuwa tumerudi kwenye mfumo ule wa zamani ambapo mtu mwenye ufaulu mzuri anapata kila chuo na kuzuia nafasi kwa wengine, au nini kitatokea?
Ninacho mkubali Kiranga yeye haangalii nani kasema nini, yeye anaangalia umesema/umeeandika nini, hapa watu wanaleta ushabiki na urafiki tu lakini asilimia kubwa tu haiwezi kukubali hili swala lako la uhongwaji ndio maana ni rahisi mtu kuku ingiza kwenye ilo group la watoto wa ohio kama msemavyo.
zion, hii imeshajadiliwa sana hapa JF kama sikosei gfsonwn na swonhite walipiga lecture ya kiutuuzima hapa. usipoteze mda kurudia kuna watu hapa wanatafuta attention tu
ngoja nikuache naona na wewe umeshakua spoiled na mtoto wa mjini lara.. kuna siku ulimwaga mapweinti nikajua you are the woman kumbe maneno ya plastic tu! yaani unaonekana kabisa wewe ni wa level fulani lakini unataka kujiupgrade.. mchana mwena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.