Search results

  1. K

    PICHA: Mapokezi Ya Mama Regina Lowassa SONGEA

    Hazifunguki mkuu,anzisha thread kama hii mwanahalisiforun
  2. K

    Elections 2015 Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura

    1. ELIMU 2. ELIMU 3.ELIMU Ndugu yangu nxhi haingozwi na matakwa ya rais bali na katiba ambayo ndio sheria Mama
  3. K

    Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Jopo la nini wakati tunaelekea kwy uchaguzi nchi ikiwa gizani?hayo maendeleo ya viwanda na uchumi wa mtu mmoja mmoja yatakujaje?kwa elimu yangu ya ngumbale niliyoipata siwezi kunpa kura yangu mgombea yeyote toka CCM!ngoja wengine nao wapewe nafasi,miaka nenda miaka rudi matatizo yale...
  4. K

    Lowassa: TANESCO jiandaeni kuwajibika

    Akamatwe apelekwe mahakamani,vinginevyo ni porojo na mawazo yaliyojaa kwa watu ambao wana stupidity
  5. K

    Mafuriko ya Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki Kupitia CCM

    Mkuu embu hacha kutuvunja mbavu
  6. K

    Prof Jay Mbunge Mikumi Akipata Chai Mama Ntilie Halafu Ndiyo Kampeni

    sidhani kama ubajitambua ndugu,na wala sidhani kama unamjua Jonas!
  7. K

    Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

    Kipindi kama hiki,umeme ni shida je uchaguzi ukishapita itakuaje?there is no way ukamconvince mtu mwenye uelewa kamili kupigia kura ccm!maeneo mengi ya Morogoro hakuna umeme toka jana mpaka sasa
  8. K

    Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Ngoja tuone mahakama itaamua nini!Kibatara Peter where u are a learned advocate
  9. K

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Na mkumbuke ICC is watching closely
  10. K

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Wachukueni watoto zenu na family zenu ndio mkaanamane nao,sio mnawalaghai kwa kuwapa vijisenti vijana kutoka family maskini na wasio na uelewa mwisho wa siku wanapata vipigo kutoka kwa wananchi huku nyie familia zenu na nyie wenyewe mkiwa salama
  11. K

    Vigogo wanaotuhumiwa kumiliki Tangold wahojiwa TAKUKURU

    Ni kweli kabisa,hana jipya,ila tumbili huyu huyu ndie aliyeleta ukweli mpaka kusababisha baadhi ya mawaziri kuanguka!endelea kujitia ujinga na ubaki na ujinga wako,Kafulila sio mtu wa kupuuzwa juu ya kauli zake,labda uwe usie na tafakuri
  12. K

    David Kafulila live ndani ya HotMix - EATV, Amtaja Kikwete sakata la Richmond

    Labda unamsubiri wewe na family yako,hata majukumu ya mbunge hauyajuhi!go back to school!
  13. K

    Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

    . A very wise words toka kwa Mzee aliyekua na hekima na uelewa wa hali ya juu,wazee wa namna hii wamebaki wachache sana kwa sasa,Mwandosya Mark ni mmoja wao!
  14. K

    Jamani CCM wameanza tena propoganda zao chafu za sms, hebu angalia hii

    Hivi Nape yupo jamani?simsikii kabisa siku hizi
  15. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa aliye nyumbani unampa ngapi na aliye ugenini unampa ngapi mkuu?
  16. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau wa premier betting naomba kuuliza hivi kwa mfumo huu mpya ukitaka kuipq timu ushindi mwembamba zamani kisita je kwa sasa ni number ngapi?
  17. K

    Meridian Betting mnaboa!

    Inawezekana ukosefu wa elime au ukosefu wa kutojikomboa kifikra ndio unaosababisha uandike hivi na kujiona uko sahihi!hivi unajua kua serikali imeanza kukusanya kodi kupitia hizo betting na wame target billions of money kwa mwaka?na hii si Tanzania tu ni nchi nyingi duniani,tena Tanzania ni kama...
  18. K

    Meridian Betting mnaboa!

    Ungekua na exposure ungegundua kua ulicho andika ndio upuuzi!Lowassa hawezi kua na mawazo ya kipuuzi kama uliyoandika!
  19. K

    Meridian Betting mnaboa!

    Uko sahihi kabisa ndugu!I can't argue with a fool
Back
Top Bottom