TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

R.I.P pumzika kwa amani kamanda nitakukumbuka kwa maneno yako ya kuwa ujawahi kuwa ccm maisha yako yote kamanda

Ukiangalia CV yake ilivyo, kuanzia A'level kasoma nje kwahiyo alikuwa exposed na dunia mapema sana.

Zile siasa za enzi hizo za kupigia kura kivuli au picha ya mtu jamaa kama huyu mwenye shule nzuri na misimamo binafsi asingeweza kusujudia siasa za "zidumu fikra za mwenyekiti".

RIP Dr Emmanuel Makaidi.
 
Inatusha na kuogopesha sana, hata Mh Kigoda hajazikwa, mmmh! RIP Emmanuel Makaidi
 
Mzee Mkapa ana umri gani?

Tukimpa RIP Mzee Makaidi tukumbuke kuwa alikuwa na umri wa miaka 74!
Umri ambao hauruhusu mikiki mingi na mishtuko.

Wazee wenzake kina Ndesamburo na Cheyo wanaongea neno moja mwaka mzima halafu wanakula bedrest.
Kina Kingunge wazumgusheni nchi nzima bila ushauri wa madaktari na matokeo yake yatakuwa dhahiri.
 
His 60th BD was last year, must be approaching 61.

Acha masikhara wewe, yaani Mkapa awe mdogo kuliko Kikwete?

Mkapa ana miaka 76 nadhani kwa sasa na majukwaani anapanda...

Sasa namshangaa huyo jamaa anayetumia kigezo cha umri mkubwa na ushiriki katika siasa kuwa ndio chanzo cha vifo...
 
Back
Top Bottom