Search results

  1. S

    Elections 2010 Zanzibar yapingana na ZEC-CCM kura ya maoni na Mseto kabla ya uchaguzi mkuu

    Naona wewe ndiye unayeyachanganya. Mseto ni mseto kwa lugha ya kawaida. Lakini mseto katika hali ya Zenj kweli unachanganya. CUF wanatamani mseto wa aina fulani. CCM(Bara) wanatamani mseto wa aina fulani pia. CCM (Zanzibar ) nao pia wanatamani mseto wa aina fulani Lakini Baraza la...
  2. S

    Yaliyonikuta Zanzibar - Rushwa tupu!!!

    Usijali Kelly kama hujapata wa kukupeleka Forodhani- kula Mbatata za urojo- si ulizia Sabri tu.
  3. S

    Yaliyonikuta Zanzibar - Rushwa tupu!!!

    Pole Swahib na usinchekshe!. Panafungwa hapo kwa Raju- Mwezi huo Babu!!!! Sasa nione Sabri nikupe introduction Machimboni- Dambwe. Lakini jifunze kucheza Dhuna, karata- wahedi wa stini, mrambo au chanis, na ukiwa unavaa shuka(kule kwenu mnaita msuri) basi rasmi!!! na haswa ukiweka na...
  4. S

    Lwekatare wa CUF kuhamia CHADEMA

    Khee. Hivi huo muda wenu lini utafika? Si uliishia pale ulipomalizika uchaguzi wa 2005. Ondokeni Bwana-mnagharibu bahati za CUF
  5. S

    TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

    Acha hizo nawe!!!. Mungu amlaze mahala pema Bi Nasma, Amin.
  6. S

    Mashine za kuuzia mipira ya kiume 'Kondomu' zaja Bongo

    Mambo ya ATM ni ya kileo.,Lakini cha muhimu ni kuifikisha "condom" popote kule. Hata Kijijini mtu ukiitaka uweze kuinunua pale( tena kwa bei nafuu)- Dukani tu pale kwa Mpemba.
  7. S

    Wapemba ni watu gani?

    Punguza ghadhabu Mzee. Wapemba ni Wa-Zanzibari . sasa kama babu yake imetokea kuwa ni mtu mwenye asili ya Oman kuna dhambi gani kujitapa kwa asili hiyo. Huo Uafrika unaosema ni upi? U-Naigeria umo humo?
  8. S

    Kauli za baadhi ya vigogo wa smz wasiotaka kuwepo rais kutokea pemba

    Junius wewe unapenda sana historia, sawa. Sasa kama Mzee Shamte -huyo ni Mzee wa Kishirazi.Yeye ni sawa sawa na Mzee Thabit Kombo na Mzee Sheikh Daud Mahmoud. Sasa kama unasema Mzee Shamte ana kosa pia useme Mzee Thabit Kombo na Mzee Daud Mahmoud pia walikuwa na makosa.
  9. S

    Nafasi ya rangi ya ngozi kwenye mahusiano

    Kweli. Mwambie huyo rafiki (lakini kwa kikwetu ningesema shoga)
  10. S

    Mashoga Wazidi Kuongezeka Bongo, Wasaka Wanaume hadi Viwanja vya Soka

    Hata Bara (Dar) ndio wamejaa zaidi. wacha kupakazia Zenj. Walioko Zenj hufanya yao kwa nidhamu lakini walioko Dar hawana nichamu ndio hicho choo na karaha..
  11. S

    Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali.

    Tuna tatizo sisi waafrika tunavyochukulia ndoa (heshima za kindoa), na tendo la ndoa kama ni mchezo. Sasa mchezo ni mchezo. Unaweza ukacheza tu kwa uwazi na mwanandoa wako- Jee ndoa itachosha hapo? Mbona wenzetu wazungu haichoshi?
  12. S

    Vipi Unatongoza

    Kwani wewe hujawahi kutongozwa?
  13. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Bara hamhusiki. Yapo kila pembe ya Unguja na Pemba Tena yapo katika eneo la Bahari Kuu ( ambalo ni Economic exlusive zone ya Zanzibar siyo Tanganyika) Upo hapo.
  14. S

    Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

    Ubandia unakuja kwa sababu Waingereza waliichukua Zanzibar kama ni Protectorate kwa Wafalme(Masultani) na wakairejesha kwa Wafalme (Masultani) 1963 siyo kwa Wazanzibari . Huo ni uhuru ubandia Hapo juu nilikueleza kuwa Jemshid kama ni mtu binafsi ni Mzanzibari lakini kama Sultani basi ni Sultani.
  15. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Wewe kama kungekuwa na uwezo zaidi ningekwambia mfufue Mwalimu Nyerere (Kumradhi hapa) halafu akueleze kwanini Tanganyika iin'gan'ganie Zanzibar. Mpaka kati ya Zanzibar na Tanganyika kama unakuwepo? Tanganyika haina amani , haina uchumi, haina ustawi wa jamii. Ni Tanganyika ambayo inahiitaji...
  16. S

    Vimwana wa bongo bana

    Hamna kitu hapo siyo kama sindimba. Tena mimi nimeona ile ya wahamiaji tu kule kwetu Zenj. Sijui ile ya kwao kwenyewe inakuwa vipi.
  17. S

    Vimwana wa bongo bana

    wewe thank u 4the video. Lakini umewahi kuona sindimba ya ndugu zetu wa Kimakonde. Wewe acha tu.
Back
Top Bottom