Search results

  1. Mabreka

    Msaada: Nahitaji mziki mzito wa gari

    Hi wakuu, nahitaji mziki wa ukweli wa kagari kangu, iwe inauwezo wa dvd, mp3, flash, memory card nk. Naomba ushauri ni wapi naweza pata na bei zake. natanguliza shukrani
  2. Mabreka

    Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

    Hi wana mmu, Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita. Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress. Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata) mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu. Imekuwa shida mi...
  3. Mabreka

    Mtaalam/mwalimu wa Financial Acc anahitajika kwa dau nono.

    Mkuu kama kuna mtu anaemfaham mtu yeyote mwenye uwezo wa kufundisha Financial acc or managerial financial management tuwasiliane tuongee biashara. Mwanafunzi ni mjasiriamali anaehitaji kujiendeleza katika level ya mastaz, Na anapatikana arusha. PM ndo inapendelewa zaidi, karibun
  4. Mabreka

    Hapa NACHUNWA? Naomben msaada wenu tafadhali

    Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea. Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena...
  5. Mabreka

    Naomba msaada wa haraka kwa mwenye mapenzi mema

    Wana jf, Mimi ni ME 30's yrs, nimekuwa nikisaka mchumba/mke kwa muda mrefu sana bila mafanikio mpaka nikafikia kiasi cha kukata tamaa ya kuoa. Nimekuwa na bahati mbaya kila nikipata rafiki wa kike anakuwa yupo nje kabisa ya sifa za mwanamke ninaetamani kuwa nae. Miezi 3 iliyopita nilibahatika...
Back
Top Bottom