Search results

  1. N

    Kapata mkopo asilimia mia lakini bado anaomba hela ya matumizi. Ni sawa?

    Hiyo inaeleweka,mimi nazungumzia mazingiraya kawaida,kuna umuhimu wa kumpa kijana mwenye mkopo 100% hela ya kulipia kodi ya chumba ,hela ya umemem,hela ya maji,kuongezea hela ya matumizi etc?
  2. N

    Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

    Kama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi...
  3. N

    Kapata mkopo asilimia mia lakini bado anaomba hela ya matumizi. Ni sawa?

    Wakuu, Nina mdogo wangu yupo chuo, yeye alipata mkopo 100% lakini kila mwezi anaomba wazazi hela ya matumizi, pia kodi ya chumba alikopanga ikiisha anaomba na kkulipiwa. Je ni kweli mkopo elimu ya juu 100% hazimtoshi mwana chuo kujilipia kodi na kukidhi mahitaji yake yote, angalau awe anaomba...
  4. N

    Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

    Katoro kuna biashara kubwa sana ya vipodozi,cha ajabu hata Mwanza na Dar wanafuata vipodozi Katoro wakati hakuna viwanda,bidha nyingi zilizokwepwa ushuru kwa 100% zinapatikana Katoro kwa bei poa sana,iwe vipodozi,urembo viroba etc na ndicho inafanya mji wa Katoro kukua kwa kasi sana wakati...
  5. N

    MBOWE: Pamoja na ukakasi unaoendelea awasihi wananchi kwenda kupinga kura.

    Is that all you can say Mr Mbowe?shame on you
  6. N

    Uchaguzi mdogo Kata ya Nnacho - Ruangwa: Mnachofanya siyo sheria

    Alafu atakuja professor Bansen Burner kutuambia upupu wake kuwa Demokrasia Tanzania imeimarika.
  7. N

    Nauza Bucha la Samaki

    Butcher=machinjio
  8. N

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Hivi haya mambo ya aibu namna hii kuna nchi nyingine duniani uwa yanafanyika?
  9. N

    Nahitaji mkopo dhamana vyeti vyangu

    VYETI SIO DILI SIKU HIZI
  10. N

    Ufunguzi wa hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    Hivi wanafunzi wanaosomea medicine wataamishiwa uko?
  11. N

    Josephine Mushumbusi: Hongera Patrobas, Mwenye chama angegundua unahama CHADEMA, tungekusoma kama Ben Saanane

    Vere sun nitaanika madudu aliyoyafanya Josephina hadi kufukuzwa kazi mashirika ya wakimbizi
  12. N

    Meneja wa Diamond 'Babu Tale' achukua rasmi kadi ya CCM, Akaribishwa na kada Mwakibinga

    Ana umuhimu gani huyu mtu ? Sitashangaa siku nyingine nikiona umeandika breaking news MENEJA WA BAA YA LIQUID KAJIUNGA NA CCM
  13. N

    Mwenyekiti BAVICHA Patrobass Katambi Naanza Kupoteza Imani Kwako!

    Aisee mkuu big up,uko juu na ulichoona 2015 kilikuwa sahii 100 percent.
  14. N

    Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

    Hizo raba enzi izo zikiitwa RABA MTONI
Back
Top Bottom