Search results

  1. Chris Lukosi

    Watanzania waishio UK wampongeza Balozi Migiro na kumkaribisha Waziri Mkuu

    Jumuia ya Watanzania waishio UK iliyo chini ya kamapati ya mpito inayoongozwa na Eng Dr Hingira wanapenda kutoa pongezi kwa Balozi Dr Asha Rose Migiro kwa kuchaguliwa kua Balozi wa Tanzania UK. Pia Watanzania hao waishio UK wanamkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara yake...
  2. Chris Lukosi

    Mapastor wa Africa waungana na Mapastor wa Tanzania kumuombea Rais Magufuli London

    Baada ya kufurahishwa na kasi yake na uchungu aliouonyesha kwa nchi yake, Mapastor mbali mbali wa Kiafrica walioko London wameamua kuungana na wale wa Kitanzania kufanya misa maalum kumuombea Mheshimwa Rais John Pombe Magufuli kwa Mwenyezi Mungu Nyote mnakaribishwa
  3. Chris Lukosi

    Kwa uzalendo alionao, Mwigulu apatiwe ulinzi wa kutosha

    Ndugu zanguni. Sote tunajua uzalendo na utendaji wa Mheshimiwa Mwigulu. Pamoja na kuwa anayofanya ni kwa faida ya taifa, lakini mjue wazi kuwa maadui zake sio wahujumu uchumi na mafisadi tu. Mwigulu atachukiwa sana na wapinzani hasa wale wanaoandamana kwa chopa na pia hata wana ccm wenzake...
  4. Chris Lukosi

    Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

    Ndugu zanguni Habari ziko sky news sasa kuwa ndege ya Malaysian airways imeanguka ikiwa na abiria 295 Hii ni ndege ya pili sasa STAY TUNED... Update; Russian news agency wanasema hiyo ndege imetunguliwa na BUK missile ambayo ni ground to air missiles special kwa kutungulia ndege...
  5. Chris Lukosi

    Toka nchi yetu ipate uhuru, haijawahi kuwa na waziri Mkuu aliekaribu na wananchi kama Mh Pinda

    Ndugu zanguni, Jana hapa UK Watanzania wote waishio hapa walipata fursa ya kukutana na kuongea na Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda aka Mtoto wa Mkulima. Hii kwangu ni mara ya pili kuhudhuria mikutano yake na kwa kifupi ni lazima nimpongeze na kumshukuu kwa namna alivyojiweka karibu na...
  6. Chris Lukosi

    Suala la ajira lisipotatuliwa sasa, ifikapo 2020 tutakuwa na waendesha boda boda wenye Phd...

    Ndugu zanguni, Siku hizi kila mwanasiasa akipanda jukwaani anatumia kauli mbiu ya ukosefu wa ajira kwa sababu tayari limekuwa tishio kwa taifa. Wanasiasa hao kutoka pande zote, upinzani na tawala wote wanalia na suala la ajira kwa sababu ni suala linalomgusa kila mwananchi. Mimi binafsi...
  7. Chris Lukosi

    Wanaodharau tugari tudogo wanakosea, ni tuzuri kwa mishe mishe za mjini na ni bei poa

    Ndugu zanguni, Jana na juzi, hapa ubaoni wamekuja mabishoo na kumwaga dharau kibao kwa sisi tunaoendesha tugari tudogo mjini. Na wengine wamefikia hatua ya hadi kusema hutu tugari ni twa watoto kuendea twisheni. Nimechukizwa sana na hizi dharau hivyo nimeamua niwajibu kwa kuwapa faida kumi tu...
  8. Chris Lukosi

    VIJANA, CHADEMA inawapoteza, rudini CCM au jiungeni na vyama vya upinzani visivyo vya kitapeli

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali. Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu. Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana...
  9. Chris Lukosi

    Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

    Ndugu zanguni, Ni majuzi tu Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Iringa na kufanya mkutano wa hadhara. Baada ya huo mkutano tumeshuhudia mikutano mfululizo kila kukicha ya Mchungaji Msigwa huku akialika wabunge wenzake . Hii ni dalili tosha kuwa Mchungaji amepanic na anahaha kujaribu kujihami kabla...
  10. Chris Lukosi

    Boda boda ni janga la kitaifa, polisi toeni elimu ya usalama barabarani kwa viboko kupunguza ajali

    Ndugu zanguni Leo nusura nimpatie mtu kilema kwa kosa ambalo sio langu bali la kwake mwenyewe. Nikiwa mitaani uswazi naendesha gari kwa mwendo wa kibinadamu kabisa, nikawa nimewasha indiketa kujuza madereva wengine na wale wa miguu kuwa nakata kushoto. Ghafla mbulumundu mmoja kaja mwendo kasi...
  11. Chris Lukosi

    UKAWA rudini bungeni, hamuwezi kushinda vita kwa kukimbia uwanja wa mapambano na mshale mgongoni...

    Ndugu zanguni, Nimesikitishwa sana na tabia za wabunge wa upinzani za kususa na kutoko nje ya bunge kila wakati hasa pale wakiona kuwa hawasikilizwi au hawakutendewa haki. Sikatai, wanaweza kuwa na points na kweli wanahujumiwa, lakini walichotakiwa kufanya ni kubaki bungeni na kukomaa. Askari...
  12. Chris Lukosi

    Hivi CHADEMA bado wapo?

    Ndugu zanguni, Kama ilivyotabiriwa, CHADEMA ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa CHADEMA ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwenda wapi na sasa mwisho wa ngoma...
  13. Chris Lukosi

    Kufa kufaana, Tanzania itumie wakati huu wa machafuko Kenya kujitangaza utalii.

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, majirani zetu wanasumbuliwa na magaidi wa alshabaab ambao wako bize kulipua mabomu kila sehemu Kenya na kuifanya nchi hiyo kutokuwa salama tena. Inasikitisha sana, lakini nadhani ni wakati sasa tutumie mwanya huu kudumisha amani yetu na kujitangaza kwa nguvu zote...
  14. Chris Lukosi

    Kwa picha hii, ni uthibitisho tosha kwa nini chadema wanapenda kwenda sero...

    Ndugu zanguni, Kama kawaida , watu tumezoea mwanaume akigombana na mwanamke basi mwanamke huwa anakimbilia kuzibana hazina kuu. Lakini leo tunaona hizi njemba zinakimbilia hazina ya njemba mwingine tuelewe nini????
  15. Chris Lukosi

    Ni ukosefu wa akili kucheka misiba ya watu, kwanini diaspora wakifa wengine huchekelea?

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo siku hizi kuna watanzania wengi sana tunaoishi nje ya nchi na wengine wengi tuna uraia wa nchi tulizohamia. Jambo la kushangaza ni kuwa siku hizi kila ukisikia Mmtanzania aishie nje kafariki basi wako watu ambao huja na threads hapa za kutukejeli na kutoa maneno ya...
  16. Chris Lukosi

    TOYOTA RAV-4 brand new mpaka kufika Dar ikilipiwa ushuru na usafiri hugharimu zaidi ya Mil 120

    Ndugu zangu Kumekuwa na upotoshaji hapa jamvini kuhusu bei za magari yanayonunuliwa na serikali, hasa pale Mmheshimiwa Lukuvi aliposema wametenga shs 80,000,000 kununua Rav 4 Kama kawaida, wazee wa kushika bango wamekuja hapa jukwaani na kudai ni bei gari sana wakati hata hawajui hilo gari...
  17. Chris Lukosi

    Ndoa ya ghafla ya upinzani ni baada ya CHADEMA kugundua kuwa watapoteza viti vingi 2015

    Ndugu zanguni Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza uongozi wa Chadema kwa kuona mbali, kwani wameishahtukia kuwa hapo 2015 watapoteza viti vingi sana , na njia pekee ya wao kuonekana wengi ni kujiunga na ukawa na kuwaingiza wapinzani wengine kwenye uwaziri kivuli. Kwa mtazamo huo ni lazima...
  18. Chris Lukosi

    Kama Tanzania tungekuwa na wapinzani kama Julius Malema wa SA, 2015 CCM wangeshindwa vibaya..

    Ndugu zanguni. Leo nimeangalia kampeni za uchaguzi wa Afrika kusini live kupitia CNN na nimeweza kufuatilia mikutano mikubwa miwili na kuwasikiliza wagombea wote kwa makini. Yule wa ANC Mheshimiwa Zuma na EFF Julius Malema Kwa jinsi alivyokuwa anaongea, bila kusoma kipane cha karatasi au...
  19. Chris Lukosi

    CCM wametueleza kwanini serikali mbili, Upinzani wanadai tatu bila maelezo ya faida zake .....

    Ndugu zanguni, Wengi hapa jamvini mnanifahamu kwa msimamo wangu wa kutoupenda muungano kwa sababu ya kelele za akina yakhe. Na nilifikia hadi kipindi kukubaliana na hoja za Lisu na Jussa. CCM wao wanataka serikali mbili na wametueleza kwa kina kwa nini mbili yatosha. Upinzani wao wanataka...
  20. Chris Lukosi

    Tovuti ya Ikulu imeweza kurusha TBC live online, kwanini TBC wenyewe hawajirushi tufaidi?

    Ndugu zanguni, Leo nimefaidi sana kuangalia matukio toka mwanzo mpaka mwisho ya sherehe za Muungano online kupitia tovuti ya IKULU. Tv ilikuwa very clear kuliko hata wale STAR TV tuliozoea kuwaona online na hakuwa hata na kwikwi . Mimi nilikuwa najua haiwezekani kwa TBC kwa sababu sijawahi...
Back
Top Bottom