SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa...
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:-...
1 Reactions
1 Replies
327 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
“It was the morning” Once upon a time in the vibrant and diverse landscape of Tanzania, there existed a young woman named Amina. Amina hailed from Katunguru a remote village found in Kibondo...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
KWANINI HATUNUFAIKI SANA NA UBUNIFU WA WATANZANIA Ubunifu Ni uwezo alionao mtu au kikundi cha watu,kuvumbua/kugundua kuanzisha kitu Fulani kipya au cha tofauti chenye kuleta tija kwa jamii...
0 Reactions
1 Replies
544 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania zimeingia kwenye historia ya kukumbana na athari mbaya za mafuriko ambazo hazijawahi kushuhudiwa kwa miongo mingi iliyopita. 2023 hadi 2024 baadhi za nchi za...
2 Reactions
1 Replies
522 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Katika kipindi cha makuzi watoto wengi huwa wanapitia nyakati ambazo huatarisha maisha yao hususani watoto ambao ni watundu sana.Sasa kuna kipindi cha utoto wangu tulikuwa na kawaida ya kuzurula...
1 Reactions
4 Replies
397 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto nyingi za miundombinu, ikiwa ni pamoja na barabara mbovu, madaraja mabovu, na...
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kitambulisho cha taifa(Nida) Ni moja ya kipande kinachomtambulisha mtanzania au raia wa taifa lolote. Hapa tanzania kumekuwa na changamoto kwenye upatikanaji wake, serikali katika hili ilichelewa...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mtazamo wa elimu yetu ni kuwa elimu ni njia ya kupata fedha na maisha bora, Tumekuwa tukiona walimu, wazazi/walezi, viongozi wa serikali na jamii ikihamasisha watoto kuzingatia elimu ili baadae...
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
BETTING KUUA TAIFA LA KESHO Michezo ya kubahatisha maarufu kama 'kubet' ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ukiacha aina mbalimbali za michezo hiyo zilizokuwepo kwa miaka mingi na katika maeneo...
1 Reactions
5 Replies
795 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tunayoitaka ni ile ambayo mawasiliano ni bora na ya kuaminika kwa kila mwananchi. Uhakika wa mawasiliano ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanafikiwa kwa haraka. Ndoto...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha...
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Idadi ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakua kwa kasi na hasa katika maeneo ya vijijini kutoka watu milioni 12 (sensa 1967), milioni 33.5 (2002), milioni 44 ( 2012) na milioni 62...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tuitakayo. Miaka kadhaa sasa Tanzania inatakiwa kubadili mfumo mzima wa elimu kwa wanafunzi lakini pia kukabiliana na ubunifu wa watoto ili miaka ijayo tusiwakose wabunifu wetu wenyewe...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Habari! Elimu ni suala la lazima katika dunia ya leo. Kuna elimu ya msingi, elimu ya kati na elimu ya juu. Kila level ina umuhimu katika maisha ya watu. Kilele cha elimu ni chuo ambako kijana...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ukatali wa kijinsia; Ni kitendo chochote anachofanyiwa mtu kutokana na jinsi yake au majukumu yake ya kijinsia. Kitendo hicho ni kile ambacho kinaweza kumuathiri mtu kimwili, kiakili, kijinsia au...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ufisidi ni janga kubwa sana linalofanya kazi ya kukandamiza Taifa letu lishindwe kuinuka kwa haraka maana nguvu nyingi inatumika kufanya mambo ambayo ingepaswa kutumika nguvu kidogo tu...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Tuitakayo ni ile ambayo inajengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu. Ni Tanzania ambapo vijana wanatumia elimu yao kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya, wakihoji na...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Tuitakayo ni nchi yenye maono ya kipekee ambayo inalenga kuwa na jamii yenye uwezo wa kujiajiri na kujitegemea bila kutegemea serikali. Maono haya yanazingatia kuimarisha miundombinu...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Leo nitachangia kidogo sana kupitia mpango wa maendeleo ambao watu wengi wanaweza kuuona kuwa ni wa ajabu sana. Nianze kwa kuuliza swali, inatufaidia nini kuwa na mbuga nyingi zinazoingiza kidogo...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom