SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au...
1 Reactions
1 Replies
341 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
USALAMA KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SEKTA YA UCHUKUZI Sekta hii inausisha ujenzi wa miundombinu kama barabara, reli, madaraja, kingo za barabara, mitaro, kalavati na barabara ndogo ndogo za...
1 Reactions
1 Replies
400 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Serikali Na wadau wa elim wanajitahidi katika kuweka miundombinu wezeshi ili kuiboresha elim ya Tanzania kuweza kuendana Na Soko la Ajira Ambalo Kwa Kiasi Kikubwa bado Tanzania ipo Nyuma...
2 Reactions
1 Replies
382 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia...
1 Reactions
3 Replies
568 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa (TAKUKURU) inapaswa kushirikia na wizara ya ujenzi kupitia wakala wa barabara (Tanroads) ili kudhibiti vitendo vya rushwa kati ya madereva na mafisa wa vituo...
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Wanafunzi wakike nchini Tanzania wanapitia changamoto nyingi Sana katika masomo yao hasa shule za kijijini, changamoto hizi zinahusisha aidha familia(walezi), jamii inayomzunguka na walimu wake...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa...
5 Reactions
5 Replies
514 Views
Upvote 12
  • Suggestion Suggestion
Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza. Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa. Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama...
0 Reactions
3 Replies
602 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Ndio maana kuna mashirika kadhaa...
2 Reactions
1 Replies
453 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mifumo ya Kikodi katika Mpaka wa Tunduma ni tatizo, inasababisha foleni kubwa. Kwanini Tanzania haitumii mfumo sawa na Zambia? Mpaka wa Tunduma ni shida na kero kubwa kwa Wasafiri na...
1 Reactions
1 Replies
357 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
I. Introduction: The Human Capital Imperative Tanzania's ambitious journey toward economic prosperity is hampered by a widening skills gap. A staggering 65% of Tanzanian youth aged 18-35 actively...
1 Reactions
1 Replies
993 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana...
2 Reactions
2 Replies
437 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni nchi nzuri sana, Amani, Uhuru na Utulivu ni wa kutosha, Ila ni nchi iliojawa na viongozi wazembe sana japo ni wasomi sana Tumekua tukiamini sana katika Uwekezaji hasa kwa Raia na...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Na. Jofreyson1 TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi...
1 Reactions
1 Replies
467 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
The community of the Kivukoni fish market and many other fish markets in Tanzania use traditional ways of purchasing fish, this method requires physical presence of the customer thus resulting to...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums? Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini. Hatua ya kwanza unakwenda...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania, like many nations, faces the challenge of balancing punishment with rehabilitation within its prison system. While incarceration aims to deter crime and protect society, a purely...
4 Reactions
5 Replies
504 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Inatisha na kusikitisha jinsi changamoto za sekta ya afya zinavyoathiri watu kote ulimwenguni, Tanzania nchi yangu nayo haijaachwa nyuma na janga hili linalokua kila uchwao, linaloteka vichwa vya...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Upvote 11
  • Suggestion Suggestion
Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona...
2 Reactions
4 Replies
529 Views
Upvote 10
Back
Top Bottom