SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu...
0 Reactions
3 Replies
488 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
SAFARI YA MABADILIKO ENDELEVU. Tanzania kama zilivyo nchi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo...
1 Reactions
6 Replies
914 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Ili mtu uweze kufanya mambo yako vizuri na kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa unatakiwa kuwa na afya njema ya mwili na akili. Tanzania bado masuala ya afya ya akili...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Serikali hufanya maamuzi mbalimbali kwa niaba ya wananchi, baadhi ya mambo huhitaji maoni ya wananchi na wakati mwingine wadau katika sekta husika (ambao huwakilisha wananchi) ili...
5 Reactions
13 Replies
790 Views
Upvote 9
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Tanzania ni nchi yenye ndoto kubwa za kufikia maendeleo kupitia teknolojia. Ndoto hizi zinaweza kutimia endapo tutawekeza kikamilifu katika sayansi na teknolojia. Watanzania wengi...
260 Reactions
64 Replies
5K Views
Upvote 726
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Kila teknolojia huanzia na ndoto, fikra bunifu za kubadilisha dunia. Kwa Tanzania, ndoto hiyo ina umuhimu wa kipekee katika kujenga taifa imara, linalowezeshwa na teknolojia ya kisasa...
2 Reactions
9 Replies
606 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu...
2 Reactions
6 Replies
840 Views
Upvote 8
  • Suggestion Suggestion
Kufanikisha lengo la Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati cha juu ifikapo mwaka 2040, mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo ni muhimu sana. Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
551 Views
Upvote 7
  • Suggestion Suggestion
In Tanzania, the journey towards reducing mortality rates and disabilities hinges on a crucial, yet often overlooked factor: First Aid provision during accidents and illnesses. The significance of...
248 Reactions
89 Replies
8K Views
Upvote 374
  • Closed
  • Sticky
  • Suggestion Suggestion
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja...
24 Reactions
118 Replies
25K Views
Upvote 60
  • Suggestion Suggestion
Akili bandia ni nini? Huu ni mchoro wa ujasusi au roboti ambayo inajaribu kuiga kazi za binadamu zenye ubongo kwa kutumia aligorithms data iliyojifunza, kutokana na ukuaji wa technolojia akili...
1 Reactions
2 Replies
557 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Ukitoa ubovu wa miundombinu iliyopo katika sekta ya usafirishaji na mapungufu yaliyopo kwenye makampuni ya usafirishaji tatizo kubwa lipo kwa mamlaka ya usafiri aridhini LATRA na serikali maana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Shajara ni kitabu maalumu ambacho hutumika kuandika kumbukumbu za matukio ya kila siku. Watu wengi huitambua kama “diary” kwa lugha ya kingereza na kuandika historia kuhusu maisha yao, vitu...
21 Reactions
27 Replies
2K Views
Upvote 47
  • Suggestion Suggestion
Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950...
101 Reactions
122 Replies
14K Views
Upvote 336
  • Suggestion Suggestion
Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza...
17 Reactions
44 Replies
3K Views
Upvote 44
  • Suggestion Suggestion
Tanzanaia tuitakayo Miaka kumi ijayo Udumavu, au utapiamlo, ni hali inayojitokeza pale ambapo mtoto hupata lishe duni, ambayo inaweza kusababisha kuchelewa kwa ukuaji wa mwili na akili. Chanzo...
2 Reactions
4 Replies
512 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi, Katika ulimwengu wa sasa, vijana wana nafasi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii. Nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
573 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa...
1 Reactions
2 Replies
439 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo. Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili...
2 Reactions
1 Replies
533 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na...
1 Reactions
1 Replies
405 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom