SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Ili kupunguza uwizi kwa njia ya mtandao wa tuma kwa namba hii ni vyema Serikali kwa kushirikiana na kampuni za mawasiliano kuja na program maalum ya kuwa na limit ya umbali wa kutuma fedha lkn pia...
1 Reactions
1 Replies
709 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Wizara ya ujenzi inatakiwa kufanya kazi bega kwa bega na wizara ya madini ilikurahisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati na...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Tanzania NI nchi ambayo ina taasisi tofauti tofauti kwaajili ya ukusanyaji wa Kodi, ikiwemo TRA, Polis, na Taasisi tofauti tofauti, Ila cha kushangaza ni namna ya usimamizi wa MAPATO Bado...
2 Reactions
1 Replies
418 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho. Tanzania inakumbana na changamoto nyingi...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba. Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji...
2 Reactions
1 Replies
275 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzia mwaka 1962, wakati Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza. Katiba ya kwanza ya Tanganyika ilipitishwa mwaka 1962 na ilikuwa...
2 Reactions
1 Replies
317 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania imekuwa moja ya nchi ambazo zinatafunwa na watu baadhi ambao wanachukua pesa za umma kwa matumizi yao binafsi kwa mujibu wa CAG kila wizara imepatkana na baadhi ya watu wabadhilifu kwa...
2 Reactions
1 Replies
240 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Objective; To implement rainwater harvesting systems in both rural and urban areas of Tanzania to mitigate water scarcity, improve access to clean water, and enhance sustainable water management...
2 Reactions
1 Replies
745 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Objective To design and implement an AI-powered project aimed at enhancing wildlife conservation efforts in Tanzania, focusing on real-time monitoring, anti-poaching measures, habitat protection...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tuliyonayo ni nchi bora kama yafuatayo yangezingatiwa tangu watoto wakiwa wadogo 1. Ufundishwaji wa elimu ya fedha mashuleni ,hii ingesaidia kujua namna ya kuzingatia matumizi na...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Katika nchi ya Tanzania tatizo la afya ya akili, limekuwa ni moja la tatizo linalogonga vichwa vya habari kila kukicha. Kumekuwa na taarifa nyingi sana za watu kujiua kutokana na sababu...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Katika jamii kote ulimwenguni, uhusiano kati ya raia na vikosi vya usalama una umuhimu mkubwa sana kwa masilai makubwa ya usalama wa taifa. Ni mwingiliano unaobadilika unaounda muundo wa uthabiti...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI. Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Kati ya mambo yanayoikwamisha nchi yetu ya Tanzania kufikia maendeleo ya kimiundo mbinu pamoja na maendeleo hitajika ni udokozi yaani upigaji wa fedha za umma. Hii imesababisha baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
YNM
SoC04 
Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja...
2 Reactions
0 Replies
386 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Introduction Tanzania, often celebrated for its stunning landscapes and rich cultural heritage, faces a critical challenge: widespread sanitation issues. Despite global advancements in urban...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom