SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI. UTANGULIZI: Natumaini kundi...
3 Reactions
12 Replies
743 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Awali ya yote nawashukuru JamiiForums kwa kutoa fursa hii ya kuwasilisha mawazo kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu hususani kwa sisi vijana, ambapo tunapata nafasi ya kuwasilisha mawazo yetu. Si...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kama ilivyo duniani kote, Serikali ni mfumo wa Mamlaka unaoongoza wananchi. Serikali zote duniani ndiyo huwa na Mamlaka ya nini kifanyike na nini kisifanyike nchi...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Watoto ndio taifa letu la kesho, kila sekta ambayo iko ndani ya nchi kwajili ya maendeleo ya nchi madhumuni yake ni kukua na kudumu kwa muda mrefu. Watu pekee ambao wanatakiwa...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Hapo zamani za kale jamii nyingi za kiafrika hazikumthamini mwanamke. Mwanamke hakupewa nafasi yeyote katika jamii. Mtoto wa kike hakupelekwa shule, hakuruhusiwa kumiliki mali, hakuweza kufanya...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania...
12 Reactions
0 Replies
561 Views
Upvote 13
  • Suggestion Suggestion
Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania 1. Utangulizi Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania is committed to self-determined progress and a testament to Tanzania’s resolve to emerge as stronger, a more prosperous nation. It’s a call to action for all Tanzanians to unite in this...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Bara, kila halmashauri ina idara ya ardhi inayosimamia masuala yote ya ardhi chini ya Kamishna wa Ardhi. Ni muhimu kila mmiliki wa ardhi awe na hati/cheti halisi cha hakimiliki...
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ulimwengu umekuwa kijiji kwasababu ya ukuaji wa sayansi na teknolojia. Kupata habari na matukio ya ulimwengu ni rahisi sana kuliko hata kuipata shilingi. Hii inatokana na maendeleo na hatua kubwa...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Elimu ni Moja ya sekta nyeti sana na yenye umuhimu sana Kwa Taifa lolote lile linalohitaji kupiga Hatua ya kimaendeleo kutoka Hatua moja kwenda Hatua nyingine,na elimu hiyo inatoka kizazi kimoja...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA IJAYO Joseph Nyoni Nikiwa kama mtanzania, napenda kuchangia mambo kadhaa ambayo yatakuja kuinua taifa hili na kufanya liwe na maendeleo makubwa. Endapo mambo haya yatafanyika basi miaka...
1 Reactions
2 Replies
531 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
1. Tanzania Tuitakayo Ni Lazima Kwanza Itoke Kwenye Mifumo Tegemezi Ambayo Bado Inatufanya Tuwe Watumwa Kifedha, Kifikira Na Mpaka Kutufanya Kuwa Wabinafsi; Mfano; Mambo Ya Kukopa Fedha Kwenye...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo...
2 Reactions
2 Replies
490 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Adui wa haki kwa miaka yote ni rushwa.rushwa limebaki kua fumbo zito kwa nchi nyingi duniani kulitatua ikiwemo nchi yangu pendwa Tanzania, ni Imani yangu kama usipopatikana muafaka wa hili suala...
2 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 8
  • Suggestion Suggestion
Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Sekta ya elimu ni sehemu kubwa katika maendeleo ya taifa, elimu inasaidia kwa asilimia kubwa maendeleo ya taifa katika uongozaji na jpandaji wa uchumi. Elimu yetu kwakiasi kikubwa imekuwa ni...
2 Reactions
1 Replies
327 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ili kupunguza uwizi kwa njia ya mtandao wa tuma kwa namba hii ni vyema Serikali kwa kushirikiana na kampuni za mawasiliano kuja na program maalum ya kuwa na limit ya umbali wa kutuma fedha lkn pia...
1 Reactions
1 Replies
717 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom