Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja...
Wana JF
Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna...
Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi.
Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la...
Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
Mtandao unakuwa mzito ukiwa Kiteto na kuna muda haupatikani kabisa ni kero kubwa kwa sisi tunaoitumia, pia Haloteli iweke huduma ya kurejesha miamala kama Mitandao mingine (Yas, Airtel na Vodacom)...
Nikiwa kwenye mizunguko yangu, nilipata nafasi ya kutembelea eneo la Kawe katika Viwanja vya Tanganyika Packers, ambako kumekuwa na shughuli mbalimbali zikiendelea hapo ikiwemo zile za masuala ya...
Stand ya Buzuruga iliyopo Wilaya wa Ilemela Mkoani Mwanza ina changamoto kubwa ya ukosefu wa vifaa vya kuwekea uchafu jambo linalosababisha Wadau wa stendi hiyo kumwaga uchafu chini ikifika usiku...
Mimi ni mzazi ninayesomesha watoto zaidi ya wawili katika shule za sekondari za umma katika halmashauri ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kero yangu kubwa ni kukithiri kwa michango mbalimbali...
Tangu mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe (ndaki kuu) ifanyike tarehe 24/11/2024 mpaka leo tarehe 17/12/2024 chuo kimeshindwa kuwapatia wahitimu vyeti vyao na kila tunapofuatilia majibu yamekuwa...
Habari Wanajamii,
Ninaandika kwa uchungu kielezea changamoto ninayoipiia sasa ya KUTOHAMISHIWA TAARIFA ZANGU ZA KIUTUMISHI KATIKA HALMASHAURI YANGU MPYA pamoja na ukweli kwamba nilihama kutoka...
Chuo cha CBE kimezuia wanafunzi kufanya mtihani wa mwisho kwa sababu hawana bima.
Hii haipo sawa kwani hawajaweka utaratibu sahihi wa kupata hizo BIMA naomba waruhusu wanafunzi tufanye mitihani...
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC
Miaka kumi imepita leo naulizwa...
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.
Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa...
Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika.
Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya...
SUALA LA VYETI.
Utaratibu ambao umewekwa na vyuo vya kati na sera zao unatakiwa kuchunguzwa na kufanyiwa maboresho, hasa VETA.
Haiwezekani mtu amalize chuo na matokeo yatoke halafu akae mwaka...
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli.
Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini...
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea.
Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo...
Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha!
Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.