Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu.
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya...
Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu.
Barabara za mjini takribani kote ni changamoto...
Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana.
Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali...
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa...
Salaam
Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi.
Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani...
Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu.
Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya...
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi.
Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma.
Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila...
Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo.
Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia...
Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanatuangusha Watanzania kwenye huu mfumo wao wa TANCIS ulioboreshwa tangu wamezindua Jumatatu imekuwa inasumbua sana hasa kwa Mawakala wa Forodha kwenye...
Radi ilipiga na kuunguza nguzo hadi kukatika kijiji cha Ilungu karibu na shule mwezi wa 11 lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajaja kuweka nguzo mpya ili wananchi wapate huduma ya umeme
Wakuu habari za usiku,
Natumai nyote mko salama.
Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar.
Katika harakati za kutafuta mkate...
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa.
1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali.
2. Jioni daladala zinafanya kazi...
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri.
2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni...
Kuna kampuni ya kutoa mikopo mitandaoni inatumia majina ya "USTAWI LOAN, HAKIKA LOAN, YOYO PESA na BOBA CASH wanatoa viwango vya mikopo tofauti na wanachokitangaza mitandaoni. Mfano, kwenye app...
Wananchi wa Tegeta Wazo mtaa wa Butterfly sports bar wanateseka na kelele zinazotokana na bar hiyo kukesha wiki nzima kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili
MMida ya usiku wanafungulia sauti kubwa sana...
Hapa mtaani kwetu kuna changamoto ya kimazingira inaendelea huu ni Mwaka wa tatu sasa maeneo ya Msasani Mikoroshini yanaathiriwa na maji taka yanayotoka kwenye makazi ya mtu mmoja ambaye ni kama...
Kumekucha Wadau.
Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.