KERO Threads

Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kumbukizi ya mwalimu nyerere(MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY) campus ya kivukoni, nimemaliza diploma mwaka wa masomo 2024/25 lakini mpaka sasa matokeo yangu...
4 Reactions
5 Replies
460 Views
Nimesikitika sana sana Jana nikitokea kwa mathias Nkashuka mbezi mwisho Nipunguze maji kidogoooop Ajabu uwiii choo cha kwanzaa nakuta mzigoo wa chookikubwa unaelea nkahamia kwingine same...
2 Reactions
11 Replies
538 Views
"Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati...
1 Reactions
6 Replies
399 Views
Anonymous
KERO 
Ucheleweshwaji malipo ya kujikimu imekuwa kero kubwa, hakuna majibu ya kueleweka na tunapewa vitisho pale tunapoendelea kuhoji. Huku hali zetu kimaisha zikiwa ni duni tumeshindwa kurecover...
0 Reactions
9 Replies
375 Views
Anonymous
KERO 
Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Wakuu, Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla. Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa...
0 Reactions
3 Replies
526 Views
Anonymous
KERO 
1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cute Wife
KERO Responded 
Wakuu, Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Anonymous
KERO 
Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Ukifika hapa Mwenge jirani na Equity Bank na Mikocheni 'B' usawa wa Clouds FM mitaro imejaa maji taka na taka. Hii ni aibu ikiwa tunazo mamlaka za kuhakikisha usafi. Wahusika DAWASA na...
1 Reactions
8 Replies
511 Views
Waziri wa Ardhi Unahujumiwa na watumishi wa idara ya ardhi pale Dodoma Jiji Imekuwa ni kero kubwa sana kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo ya kupata hati kwenye ofisi za jiji...
5 Reactions
6 Replies
673 Views
Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane? Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki...
2 Reactions
5 Replies
706 Views
Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
930 Views
Anonymous
KERO 
Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi...
1 Reactions
2 Replies
265 Views
Anonymous
KERO 
Jamani wakulima wa tumbaku wilaya ya kibondi tunaangamia hatujslipwa stahiki zetu Hadi Leo unakaribia mwezi wa pili baada ya mauzo ya mwisho wakati mkataba wa uuzaji tuliongia na kampuni(AMCOS)...
1 Reactions
2 Replies
248 Views
Anonymous
KERO 
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Glenn
KERO Responded 
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo; 1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
26 Reactions
129 Replies
13K Views
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
18 Reactions
187 Replies
9K Views
Back
Top Bottom