lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,209
Wakubwa zangu shikamooni
Peopleeeeeeeeeeeess
Hayawi hayawi sasa yamekua!!!!!!! ILE MMU LIVE TALK SHOW YA KIUTU UZIMA ZAIDI NA KUBWA KULIKO BABY ni ndani ya jamvi ijumaa hii saa NNE ASUBUHI!!!!!!!!!!
Guest: The Boss
Host: Lara 1 na Zinduna
Topic: Men Fantacies!!!!!!!!!!!
The Boss atajibu Maswali magumu LIVE hapa na KUFUNGUKA ya moyoni mwake, baada ya hapo jukwaa litakuwa wazi kwa wachangiaji wote kujiachia kwa comments juu ya topic, hata kuponda juu ya majibu au maswali au hata juu ya hosts! (Haitoruhusiwa kumponda Mgeni)
DONT MISS JAMANIIIIII, SI YA KUHADITHIWA HII. (The Boss alivomgumu wa kujibu!!!!!!!!!)
Karibuni sana wote!!!!!!!!!!!
Utani hautaruhusiwa, hapa ni SERIOUS BUSINESS na mwaswali ni ya Kujenga tuuu!!!!!! Uongozi wa JF unamulika hili. (Lets grow up and get a life for once!!!!!!!!!)