Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

Kuamini Mungu wala Sio shimo na wala Mungu hajasisitiza
Uwe Msukule ktk kumjua yeye.
Kuwa Mtu wa Kidini ni Moja
Kati ya hatua za Makuzi ya
Kiroho Tu hamna kingine.
Tatizo la uyo ndugu yako
Hajui anachosisitiza yeye
Anafikiri labda hayo anayoyatetea ni mapya.
Si kwamba anakusudi baya,
Ila Tu kwakua bado hajafahamu Siri inayotenda
Kazi ulimwenguni.Akija kufahamu naye atabadilika
Ataacha kufukuza Upepo.
Unaweza kuthibitisha roho ipo au ni chaka la kuendeleza uongo na ujinga tu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuondoa contradictions katika dhana ya kuwepo kwa Mungu?
 
Unajuaje mwanadamu kawekwa na Mungu na si kitu kingine chochote.

Umekuta hela chini asubuhi. Nyumba ina Baba, Mama, Mjomba, Shangazi, Kaka Mkubwa, Babu, Bibi na jirani.

Wote walikuja kwenye sherehe walilala hapo.

Wewe una conclude tu kwamba ile hela imewekwa na Kaka mkubwa.

Hujatoa maelezo kwa nini si mwingine yeyote bali ni kaka mkubwa tu aliyeweka ike hela pale chini.

Kwa nini isiswezekane upepo umepeperusha hela na kuifanya iwe pale.

Unatoa jibu bila ushahidi.
Vyovyote iwavyo yupo aloiweka.Kwa upande wa mwanadamu alomweka tumeamua kumwita Mungu au alomuumba kama una jina jingine pia waweza mwita cha msingi tunakubaliana kuna aliyemweka .
 
Kwa contradictions ambazobhuwezi kuzitatua, huwezi kuzielezea kwa maelezo yatakayozitatua.

Una uelewa mdogo kiasi jwamba huelewi kwamba mtu anayesema square root ya 2 ni kumi bila kuweza kuelezea amepataje jibu hilo la kumi, ameweza kueleza square roit ya 2 ni kumi, lakini hajaweza kuelezea jibu kalipataje.

Katika uelewa wako mdogo, una conclude kwamba nikisema huwezi kuelezea square root ya 2 ni kumi maana yake nimesema huwezi kueleza kwamba square root ya 2 ni 10.

Unachanganya mambo.

Ndiyobmaana unmuamini Mungubwa kujichanganya.

Mungu wa contradiction.
Sasa mie na wewe ni nani anajichanga changanya hapa? hizo contradiction umezipataje kama huyo Mungu angekuwa hajaelezwa.
 
Vyovyote iwavyo yupo aloiweka.Kwa upande wa mwanadamu alomweka tumeamua kumwita Mungu au alomuumba kama una jina jingine pia waweza mwita cha msingi tunakubaliana kuna aliyemweka .

Ukishasema vyovyote iwavyo, halafu ukaendelea kusema yupo alomweka, umeshajicontradict.

Kwanza, ukisema yupo, umejilimit kwenye nafsi (yupo as opposed to kipo).

Huna ushahidi wowote kwamba jibu ni yupo na si kipo.

Kwa nini unasema kuna alomweka na si kuna kilichomweka?

Na utaamuaje kirahisi kusema chochote kikichomuweka ni Mungu?

Kama ni tofauti je? Unafikaje kusema chochote kilichomuweka hapo ni Mungu?

Ikija kugundulika kwamba chanzo cha dunia na binadamu kuwa hapa ni utupu, nothingness, hicho ndicho chanzo, kuna maajabu fulani yakatokea utupu ukazaa ulimwengu na ulimwengu ukamzaa mtu, utakubali kwamba nothingness is God, and therefore, there is no God?

Si umesema chochote kilichotuweka hapa ndiyo Mungu?
 
Unaweza kuthibitisha roho ipo au ni chaka la kuendeleza uongo na ujinga tu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuondoa contradictions katika dhana ya kuwepo kwa Mungu?
Ujinga ni huu, kuamini Atom
Kuwa kipimo kidogo cha Mwisho kwakua ndipo mlipoishia hamna cha ziada
 
Ujinga ni huu, kuamini Atom
Kuwa kipimo kidogo cha Mwisho kwakua ndipo mlipoishia hamna cha ziada
Kwanza atom si kipimo kidogo cha mwisho.

Rudi shule.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaondoa contradictions katika dhana ya kuwepo kwake.

Kwa sababu hayupo.
 
Kuamini Mungu wala Sio shimo na wala Mungu hajasisitiza
Uwe Msukule ktk kumjua yeye.
Kuwa Mtu wa Kidini ni Moja
Kati ya hatua za Makuzi ya
Kiroho Tu hamna kingine.
Tatizo la uyo ndugu yako
Hajui anachosisitiza yeye
Anafikiri labda hayo anayoyatetea ni mapya.
Si kwamba anakusudi baya,
Ila Tu kwakua bado hajafahamu Siri inayotenda
Kazi ulimwenguni.Akija kufahamu naye atabadilika
Ataacha kufukuza Upepo.
Asante ndugu
Yanathaminiwa
Mawazo mazuri...lakini ninavyo muelewa Alwatani yeye Ni mhakiki...a critic...Sasa mpaka kuwa mhakiki lazima uwe umekwenda ng'ambo ya upeo...nimemstadi Sana...Alwatan yuko katikati ya mstari..hapendelei....Ni mchokozi anataka watu watoke katika upeo wa kawaida wa mazoea na kufikirika waende deep wajichambue na kujipembua waone Ng'ambo ya upeo na wajue wajibu wao katika ukombozi nafsia....
 
Kwanza atom si kipimo kidogo cha mwisho.

Rudi shule.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaondoa contradictiins katika dhana ya kuwepo kwake.

Kwa sababu hayupo.
Ivyo vingine vijue wewe..Sina
Shida navyo.Ila unapozungumzia Roho, ni
Zaidi ya takataka za kupima.
Watu wa kiroho wanaelewa
 
Vyovyote iwavyo yupo aloiweka.Kwa upande wa mwanadamu alomweka tumeamua kumwita Mungu au alomuumba kama una jina jingine pia waweza mwita cha msingi tunakubaliana kuna aliyemweka .
Yap hi nimeipenda...lazima tu kunapower flani...lakini Nani ana tambulisha nguvu hii kuu...Nani amepewa mamlaka ya ku define power hii???? Wachina wanasema Buddha...wahindi wanasema Guru...wayahudi ndio wengi tuko nyuma yao...misukule siye...eti Jah, Mara Allah Mara Jehovah....alafu Ni uhasama na chuki mtindo mmoja...hapo ndio utamwona Alwatani....
 
Wahakiki lazima wawepo katika jamii, pasipo wao jamii itatumbukia katika mashimo na isijikomboe kamwe...hakika Muda umefika wa binadamu na hasa mswahili kujitazama upya na kuchukua wajibu wa uliopo na ujao wake...hii haitowezekana pasipo taarifa sahihi...ambazo hazipatikani ikiwa watu hawasomi...hawasomi kwa sababu imani zao zimewawekea vizingiti....Ni hatari...kwani watunzi wa imani hizi walikuwa na agenda rasmi, kusema imani zetu asilia zilikuwambovu wakatuletea za kwao.....ndugu fuatilia mada ya Ncha ya Mkukina kuhusu dini badala ya kukaa hapo ukihofia jehanamu ya Moto na kutumainia pepo....ukajenge nchi na bara lako...ukapende watu wako na kujiheshimu na kujithamini...na ukarejee imani asilia za babu zako
Kwahiyo ndiyo umeona umeongea cha maana kunishawishi nifuate imani za mababu,mi nilidhani labda utaeleza kitu kipya kumbe unataka nifuata imani za mababu.

Yani nifuate imani kisa et mababu zetu ndiyo walikuwa wanafuata hiyo imani hivyo na mie nifuate tu.

Mkuu mie siamini kibubusa hivyo,tatizo lenu nyie karibu wote huko mwanzoni mlikuwa mkiamini kibubusa na hata mlipotoka huko bado tabia ya kuamini kibubusa bubusa mnaiendeleza.

Athari za imani ya wazazi ndiyo zinafanya watoto nao kujikuta wanakulia kwenye imani hizo za wazazi wao ila wakikuwa uchaguzi huwa ni wao,ila ajabu wewe unakuja kunishawishi imani mie mtu mzima kwa kigezo cha mababu zetu!
 
Ivyo vingine vijue wewe..Sina
Shida navyo.Ila unapozungumzia Roho, ni
Zaidi ya takataka za kupima.
Watu wa kiroho wanaelewa
Hujajibu swali. Halafu unajionesha unaandika vitu usivyovielewa.

Takataka kubwa kabisa hapa ni kuandika kitu usichokielewa wala kuweza kukielezea halafu kutaka kulazimisha kipo, halafu hata kulazimisha kwenyewe umeshindwa.

Umeshindwa kila kitu.

Halafu unavyozidi kung'ang'aniza kitu ambacho umeshindwa unataka kushindwa hata kushindwa gracefully.
 
Asante ndugu
Yanathaminiwa
Mawazo mazuri...lakini ninavyo muelewa Alwatani yeye Ni mhakiki...a critic...Sasa mpaka kuwa mhakiki lazima uwe umekwenda ng'ambo ya upeo...nimemstadi Sana...Alwatan yuko katikati ya mstari..hapendelei....Ni mchokozi anataka watu watoke katika upeo wa kawaida wa mazoea na kufikirika waende deep wajichambue na kujipembua waone Ng'ambo ya upeo na wajue wajibu wao katika ukombozi nafsia....
Kupembua Nje ya uelewa wa
Kibinadamu ndiko huku tulikolala Sisi,kumjua Mungu
Na kumfata Sio Kwa akili mbili
Anazosisitiza yeye.Ivyo Mtu anayemjua Mungu si wakawaida kama
Anavyochukulia yeye, ye kaona
Tu watoto wachanga wakilelewa anadhani wote wapi ivyo.
 
Kwahiyo ndiyo umeona umeongea cha maana kunishawishi nifuate imani za mababu,mi nilidhani labda utaeleza kitu kipya kumbe unataka nifuata imani za mababu.

Yani nifuate imani kisa et mababu zetu ndiyo walikuwa wanafuata hiyo imani hivyo na mie nifuate tu.

Mkuu mie siamini kibubusa hivyo,tatizo lenu nyie karibu wote huko mwanzoni mlikuwa mkiamini kibubusa na hata mlipotoka huko bado tabia ya kuamini kibubusa bubusa mnaiendeleza.

Athari za imani ya wazazi ndiyo zinafanya watoto nao kujikuta wanakulia kwenye imani hizo za wazazi wao ila wakikuwa uchaguzi huwa ni wao,ila ajabu wewe unakuja kunishawishi imani mie mtu mzima kwa kigezo cha mababu zetu!
Mawazo mazuri mno nathamini
Asante ndugu
Hata wayahudi hao ama waarabu uwaaminio Ni mababu pia....wakina ibrahimu Musa hao Ni mababu...ila babu na Bibi mweusi kwako Ni shetani...mbona hujipendi hivyo....umekutwa na Nini mtu mweusi???
 
Jaribio la Kumuua Tundu Lissu
Mungu angekuwepo kungekuwa hakuna kifo, hakuna risasi, hakuna bunduki, hakuna ugonjwa, hakuna majaribio ya kuuana popote, kwa yeyote, wakati wowote.

Jaribio la kumuua Lissu linaonesha Mungu hayupo.

Halioneshi Mungu yupo.
 
Bahari mbili zikikutana bila kuingiliana zinaoneshaje uwepo wa Mungu?

Habari kama hizi ndizo zinaonesha aatu wanatumia chaka la "Mungu" kutupia kila wasichokijua vizuri.

Kwa sababu ya uvivu wa kufikiri.
Ungekuwa sio mvivu usingekuwa unalilia upewe uthibitisho na kuishia kung'ang'ania kwamba kuna contradiction kwenye maelezo yenye kuhusu mungu,bali ungekuja na majibu ya kwanini hakuna mungu na si kuna contradiction kwenye maelezo yenye kuhusu mungu.

Ukiulizwa jambo likikushinda unajibu kivivu et hata kama sijui haithibitishi kuwa mungu yupo!
 
Mawazo mazuri mno nathamini
Asante ndugu
Hata wayahudi hao ama waarabu uwaaminio Ni mababu pia....wakina ibrahimu Musa hao Ni mababu...ila babu na Bibi mweusi kwako Ni shetani...mbona hujipendi hivyo....umekutwa na Nini mtu mweusi???
Hao wazungu na waarabu pia wana imani zao mbali ya ukristo na uislamu toka enzi hizo,hivyo hata wao nao kuna ambao walizipiga vita hizi dini za ukristo na uislamu kwa sababu kama hizo za kwamba wao wanafuata imani za mababu zao.

Sasa wewe nae unakuja hapa kuhubiri imani ambayo sifa yake ni kuwa ni ya mababu zetu! ndiyo maana nakwambia mie siamini kibubusa hivyo.
 
Ila ukiamini Mungu wa contradiction sawa?
 
Ungekuwa sio mvivu usingekuwa unalilia upewe uthibitisho na kuishia kung'ang'ania kwamba kuna contradiction kwenye maelezo yenye kuhusu mungu,bali ungekuja na majibu ya kwanini hakuna mungu na si kuna contradiction kwenye maelezo yenye kuhusu mungu.

Ukiulizwa jambo likikushinda unajibu kivivu et hata kama sijui haithibitishi kuwa mungu yupo!
Contradiction inaonesha hakuna huyo Mungu.

Unaelewa hilo?

Unaelewa "proof by contradiction" ni nini?
 
Hao wazungu na waarabu pia wana imani zao mbali ya ukristo na uislamu toka enzi hizo,hivyo hata wao nao kuna ambao walizipiga vita hizi dini za ukristo na uislamu kwa sababu kama hizo za kwamba wao wanafuata imani za mababu zao.

Sasa wewe nae unakuja hapa kuhubiri imani ambayo sifa yake ni kuwa ni ya mababu zetu! ndiyo maana nakwambia mie siamini kibubusa hivyo.
Kazi IPO ndg_Kunyanyapaliwa Kwa watu weusi kwenye mataifa makubwa ya magharibi ndiko kumesababisha upepo uenee kote huku. Wana kisasi cha Utumwa,na kitawapeleka Pabaya.hawafahamu Mungu
Kayaruhusu Yote hayo ili kuwatia wivu wajirudi na kumpokea.wanataka Kuwa kafara tena..! Kila kitu wanakataa,Oh sijui hii elimu
Yao wametuletea ili watutawale vizuri.! Mambo
Ya mzungu na Mungu wapi na
Wapi!? Kwa Mungu Nyie wote
Watu kama kondoo Tu zizini.
 
Back
Top Bottom