Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

Attn to media

Kwa takriban siku 10 sasa tangu Chama kupitia uongozi wa juu ulipotoa tamko maazimio ya kikao cha dharura cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi Septemba 10, mwaka huu kuhusu tukio la kushambuliwa kwa risasi kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, .
Tutakuwa live kuwaletea yanayojiri kwenye mkutano huo kuanzia majira saa sita mchana.
Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vya utangazaji wameshafika ndani ofisi za Makao Makuu ya Chadema
======UPDATES
Jeshi la Polisi wameimarisha ulinzi sana nje eneo la Makao Makuu ya Chadema muda huu
Waandishi wa habari tukimsubiri Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atazungumzia hali ya afya ya Tundu Lissu.
View attachment 593419
View attachment 593420
Mara zote huwa wanaweka ulinzi au ni leo tu?

-Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona povu ghafla Mkuu Kulikoni? Kwahiyo Mimi kumsifia Mchungaji Msigwa kunenepa na kunawiri vile usoni kwa siku 15 alizokuwa jijini Nairobi ni dhambi au kosa la jinai? Hapo yupo tu Nairobi katakata hivyo vipi akienda New York Marekani au Frankfurt Ujerumani? Si atapasuka kabisa?

Hopefully katika Press ya baadae na Yeye atakuwepo Mkuu kwani nataka nionane nae tu ili anipe Siri ya unenepaji wake huo wa ghafla na huko kunawiri Kwake Kunakotukuka.

Umechangia dola ngap mkuu maana tuliochanga tunajua hela inamtib mgonjwa
Mapoyoyo msio na utu mnazan zmeliwq kama zile zenu za kagera!?
 
Nasubiri maana saa 6 inaweza ikawa mpaka saa 6 dakika 59 baada ya hapo ndo nitahoji
 
Naelekea ufipaa makamanda

OvA
 

Attachments

  • IMAG0673.jpg
    IMAG0673.jpg
    258.9 KB · Views: 42
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salim Mwalimu:Leo tumeona tuje kwenu tuwaeleze yaliyomtokea TunduLissu toka siku ya kwanza hadi leo. Mwenyekiti Mbowe atatueleza.
 
●Freeman Mbowe Nianze na taarifa njema, Tundu Lissu amewasalimia watanzania wote na anawapenda sana.
 
Hizo chuki binafsi zako wewe na Peter Msigwa wao wanakaa Nairobi kwa gharama zao kama yeye kunenepa imekuuma sana nenda na wewe ukae huko utanenepa.
Just to add. Kama kanenepa na yeye anaona gere akajinyonge. Na hiyo roho mbaya, kujipendekeza kwa kiziwi na kipofu, chuki na unafiki kwa madhila aliyofanyiwa MTU wa Mungu TL, Mungu atamsimamisha ubogo na macho. Eh. Mungu Fanya kulingana na uachoona kinafaaa kwa dhalili huyu.
 
Hata Bukoba na la Shule ya Arusha Sisi CCM tulihamasisha mwisho wake tuliishia kwenye kauli za Kejeli kwa waliopata janga.

Kwa hiyo kama umekuja na hoja kama hii ili kuliacha chama chetu uchi kwani ktk shutuma hii hatutaki hata kwenda kuomba kura Bukoba 2020 sijui tunaendaje kwa hao waliokutana na Kejeli.

Kwa hiyo kabla ya kuandika fikiria kwanza je chama chetu kikosalama kwa hiki ninachochangia .

Kwa Chadema wanamgonjwa na michango inayotolewa maendeleo yake yanaonekana kwani Mgonjwa anaendelea vizuri na wachangiaji wanachohitaji ni Lissu kupona sio maneno ambayo hayajavaa nguo.

Ee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kuimarisha afya ya Lissu na uponyaji kabisa. Amen
Mzandiki katika ubora wako.
 
Back
Top Bottom