Mapinduzi ya Viwanda; Wazungu walianzaje na walifanikiwaje?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Naomba kujuzwa kwanini tunapigia chapuo suala la mapinduzi ya viwanda nchini hasa awamu hii ya tano? Tulishafanya research kujua kuna demand ya nini hasa ili tuwe na viwanda vyake nchini badala ya kufuata bidhaa nje ya nchi? Isije ikawa ni kutekeleza Ilani tu bila kua na mpanga madhubuti.

Mapinduzi ya viwanda kule Ulaya yalianza tangu karne kadhaa huko nyuma kwa sababu wenzetu walikua kwenye tafiti za masoko hasa huku kwetu Afrika, waliona tunahitaji bidhaa kadhaa wa kadha na wakaanzisha mapinduzi ya viwanda ili kuzileta bidhaa zao kwetu Afrika na baadhi ya mataifa mengine yaliyokua yana demand kubwa kwenye bidhaa mbali mbali.

Sasa Huyu ndugu anayesema hata vyerehani navyo ni viwanda, ni sawa lakini hii inaweza kutupeleka kwenye mapinduzi ya viwanda? Kwa mawazo ya Waziri wangu huyu ni kweli tutasonga?

Mapinduzi ya viwanda ni suala mtambuka, demand haiko eneo moja bali ni kila sehemu inayogusa maisha ya kila Mwananchi. Tusikimbilie fulfilment ya manifesto ya chama bali kwende kwenye utafiti kwanza kama wazungu walifanyanini miaka ya 1800 huko.
 
Huyu Mzungu wetu anafikiri viwanda vinakuja kwa kurusharusha mikono huku akiomba aombewe wakati uchumi una principle zake ambazo hazihitaji sala. Sala inahitajika kwenye majanga kama tetemeko, kimbunga na nk
 
Naomba kujuzwa kwanini tunapigia chapuo suala la mapinduzi ya viwanda nchini hasa awamu hii ya tano? Tulishafanya research kujua kuna demand ya nini hasa ili tuwe na viwanda vyake nchini badala ya kufuata bidhaa nje ya nchi? Isije ikawa ni kutekeleza Ilani tu bila kua na mpanga madhubuti.

Mapinduzi ya viwanda kule Ulaya yalianza tangu karne kadhaa huko nyuma kwa sababu wenzetu walikua kwenye tafiti za masoko hasa huku kwetu Afrika, waliona tunahitaji bidhaa kadhaa wa kadha na wakaanzisha mapinduzi ya viwanda ili kuzileta bidhaa zao kwetu Afrika na baadhi ya mataifa mengine yaliyokua yana demand kubwa kwenye bidhaa mbali mbali.

Sasa Huyu ndugu anayesema hata vyerehani navyo ni viwanda, ni sawa lakini hii inaweza kutupeleka kwenye mapinduzi ya viwanda? Kwa mawazo ya Waziri wangu huyu ni kweli tutasonga?

Mapinduzi ya viwanda ni suala mtambuka, demand haiko eneo moja bali ni kila sehemu inayogusa maisha ya kila Mwananchi. Tusikimbilie fulfilment ya manifesto ya chama bali kwende kwenye utafiti kwanza kama wazungu walifanyanini miaka ya 1800 huko.
Mkuu ukimsikiliza Gufuli na ukiangalia vitendo vyake ukweli ni kuwa hakuwa amejiandaa kwa nafasi aliyo nayo sasa. Suala la uchumi wa viwanda linahitaji akili kubwa! sio suala la kusema halafu ikawa!.

Suala la viwanda linahitaji kiongozi ambaye akili yake imetulia na anafanya maamuzi baada ya kutafakari vya kutosha. Suala la viwanda linahitaji mabadiliko ya vitu vingi sana.

Shida kubwa ambayo tunayo sasa ni kuwa kuna mtu anataka mawazo yake ndiyo yatekelezwe hata kama hayana tija, na kwa sababu hii kasi ya kufika huko itakuwa ni mwendo wa konokono!!
 
Wanafufua viwanda vilivyokufa bila kujadili nini kiliviua viwanda hivyo

Sasa wanalazimisha mifuko ya pensheni ikopeshe hela viwanda vya magunia vilivyokufa miaka tele

Siasa inaongoza uchumi badala ya uchumi kuongoza siasa,viwanda ni uchumi,lakini leo watu wamekaa Lumumba na vitabu vya ilani wanatoa maagizo wapi kiwanda kijengwe na serikali,kama hiyo demand ilikuwepo,sekta binafsi wangekuwa wameiona kitambo sana,sekta binafsi ndio wanaonusa fursa kwa kasi kuliko serikali

Serikali inanusa fursa ya kiwanda cha magunia,hii ni kichekesho
 
Back
Top Bottom