Wanabodi,
Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cibin crew 10!.
Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufuka kwa ATCL na ushindani toka Fast Jet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL, Fast Jet, na ATCL, zote hazijai, hivyo purchasing power ya Watanzania kusafiri kwa ndege, imepungua, soon mtashuhudia mashirika mengine yakipunguza frequency na mtashuhudia mabenki yakifungasha na kuondoka.
This is not good at all.
Paskali