Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
cnn is fake.. ask Trump
 
Wanasheria wa Marekani, chuo alikosomea, wanasheria wa Kenya, hiyo haijawa dunia?. Mhurumie Lissu, wewe ni miongoni mwa waliotaka afe. Kama MUNGU amekataa wewe ni nini mbele za aliyemuumba Antipas?. Muogope Mungu.
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?

Punguza wivu na chuki binafsi., hazisaidii kujenga Taifa letu liwe Imara kiutulivu, kiuchumi, kisiasa etc etc etc

Busara na hekima ni vitu adimu, tumpe heshima na kumjali mgonjwa alieumizwa sana na anaeuguza maumivu makali yaliosababishwa na kupigwa risasi nyingi!

Ndy sifa yetu km Watanzania.
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Ulikuwa unafikiri Lissu ni level ya polepole sio mtanyooka tu
 
Okeeeeee!!! inawezekana ni kweli kumbe hata ile ya kusema Dunia nzima Magufuli ilikua mnazusha tu!!! Ha ha ha ha ha haaaaaa ...

Mimi mpaka sasa naamini miongoni mwa nchi kubwa duniani na yenye nguvu kubwa kiuchumi na nguvu ya dola yenye athari mpaka kwa nchi zinazo endele ni Marekani ...

Nakumbuka chama cha wanasheria nchini humo kimelaani vikali shambulio la la Kamanda T.A Lissu ...

... kwa Africa pia tunayo S.Africa na Nigeria halikadhalika wamelaani vikali shambulio hilo ... sasa nchi kama Somalia hata isipolaani haina impct yoyote ...

Hivyo hawajakosea kusema Dunia nzima Tundu Lissu ...
 
Nilishangaa sana siku moja nipo Cyprus nawaambia natoka Tanzania wao wakadhani ni moja ya mataifa ya Amerika Kusini. Yaani kwao Afrika ni taifa moja, mara mia ukisema natoka Afrika ili ueleweke labda iwe Afrika Kusini.
 
Hizo media za nje ambazo hazijaripoti unamaanisha nje wapi?!

Unamaanisha Honduras na Mongolia, pamoja na Haiti bila kuisahau Nicaragua na Myanmar, au unamaanisha nje wapi hasa? Manake ninavyofahamu media kutoka nchi kubwa zinazotumia English kote huko wameripoti! Kuanzia US and Canada to New Zealand and Australia let alone UK!!!

Kama ulitarajia na Honduras nao waandike wakati hata wewe hapo nikikuuliza mji mkuu wa Honduras unaitwaje, hufahamu na si ajabu hata Honduras yenyewe hauifahamu!!!
 
Ndo upeo wa akili wa mazwazwa ya Lumumba ulipofikia hapo. Huyu kilaza ni wa kupuuzwa tu. Eti "mbona CNN haijatangaza habari za Lissu" Nyambaf sana. Mimi mwenyewe nimeona CNN wakitangaza hizo habari siku ya tarehe 9 September.
 
CNN hata Rais wao Trump anajua ni fake news sasa wewe unaitolea mfano hapa Mafan
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Hutaki au.Hueleweki ati.
 
Mkuu hawa wenye kutokwa na jasho wakitafuta habari za Lissu huko nje, ni wanasiasa uchwara tulionao nchini mwetu.

Wanajaribu kutengeneza mazingira ya Tanzania kuonekana ni nchi yenye kufaa kutengwa na shughuli zote za kimataifa, bahati mbaya ni kwamba tunaopiga magoti na kuiombea mema awamu hii ya tano, tupo wengi sana.
 
Back
Top Bottom