Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho.

NADHAN PAMOJA NA HILO KUNA MAMBO mengi yamezungumzwa najua hata wazungu walitawaliana for sometime. ila sisi bado tumebaki wapuuzi hta after
Sawa, hebu naomba unipe your definition of "wazungu"., hivi watu wa Latin America nchi kama Bolivia, Cuba, Panama , Ecuador sio wazungu?
 
Waafrica tuliumbwa kwa majaribio.
Tuliumbwa ili tuwe watumwa.

Zamani tulikuwa Watumwa kiuhalisia na tulikuwa tunaprove utumwa wetu physically.

Leo kuna ukoloni mamboleo...na bado watu weusi NI WATUMWA na Wanyonywaji katika dunia ya leo.

Kwa Mfano, Leo hii Watanzania wengi ni watumwa wa Wahindi.

Mwenye kubisha hilo abishe kwa hoja.
 
Africa must wake up "The sleeping sons of Jacob" Yesterday we were Kings & Queens!
-+BV97XViFVQ8+Image+by+proxima.bliss.jpg
 
Mpaka mwaka 2017 huu au karne ya 21 waafrika tunahangaika na mambo madogo sana ambayo wazungu walihangaika nayo miaka kenda na kenda huko nyuma. waafrika tunapigania haki ya kutambulika duniani. huu tayari ni udhaifu. ukiona mwanamume anataka atambulike kwa mkewe au watoto wake kuwa yeye ndo baba au naye ni baba basi ujue kuna shida. tumebaki na kuhangaika na vitu vya kipuuzi.leo mtu anahangaika ku prove kuwa Waisrael asilia ni weusi. so what? mpaka mtu analazimisha au hangaika kusema Yesu Kristo alikuwa mweusi. ok alikuwa so what?
wazungu au watu weupe ndo wamevumbua.
awepo mpingaji hapa atuoneshe yale ambayo tunaweza yasimamia hasa hasa sisi. kuna mtu atakuja hapa na kuanza kulaani na kutukana wazungu hawa makafiri n.k huku anatumia simu,kompyuta, magari yao,nguo walizoshona wao,viatu vyao,miwani waliyogundua wao,saa,feni,ac,umeme walivyogundua wao. ndo unagundua NI UNAFIKI TU WA MWAFRIKA na Baadhi ya Makabila ya KIASIA.

tuwapinge wazungu kweli kweli kwa kubuni vitu vyetu wenyewe na tuavhe kutumia vyao.wana nguvu sababu wao wana akili kutuzidi. wakati sisi tunafikiria zaidi kuoa na kuoana au kuazaana wao wanafikiria namna gan watabadilisha maisha ya wanadamu. hata asilimia 80 kama si 100 ya michezo maarufu duniani asili yake ni huko. au wao wameendelea nayo zaidi kuliko sisi.

waafrika hatuna akili sana kama wazungu au tuna tatizo sehemu flan. angalia chaguz zetu,angalia serikali zetu,angalia vipaumbele vyetu, angalia maisha yetu, angalia tuavyoishi kwa kuwasingizia wazungu kila kitu.

ile wao kuja kututawala tu tayari maana yake sisi hatuna akili wao wanazo nyingi imagine walikuja wangapi wakatutawala sisi wenyeji wengi kwa kuweka mifumo mbalimbali? ukisema wanatugombanisha basi ujue pia ni sababu wao wana akili kuliko sisi wapumbavu tunaogombana wenyewe kwa wenyewe. najiuliza waafrika tuna tatizo gani?

nimewaza mambo haya kwa uchungu sana na nikaja pata jibu moja tu kuwa wazungu wao wana akili zaidi kuliko sisi. miaka 50 baada ya kujitawala bado tuna mambo mengi ambayo tuna tegemea kutoka kwao au waliyotuachia miaka hiyo mingi. na bado kuna mtu anakuja kuning'iniza korodani zake tu mwili hapa anasema wafrika waafrika ukimuuliza tunafanyaje kujitoa kwenye utegemezi... hana namna isipokuwa ni kudai haki ya mtu mweusi. HAKI HAIDAWI, INAKUWEPO TU. kama ukiona unadai utambulike basi ujue we hutambuliki. leo hii magufuli au lowassa akienda sehemu na kutaka watu wamjue yeye ndo lowassa au magufuli ujue kuna shida sehemu. inatakiwa tu akienda sehemu watu wamfaham.
Nimeshtushwa na makala yako, sikubaliani na mawazo yako ( maana hayo ni mawazo tu) ktk dunia hii kuna sehemu ziliwahi kustaarabika kimaendeleo, hii ikawapa uwezo wa ki rasilimali kuwa hatua moja mbele kiuchumi kuliko maeneno mengine, hii si kusema kwamba watu waliostaarabika mapema eti ndio wana akili kuliko na upeo kuliko ambao walichelewa kustaarabika.
ngoja nikupe mifano kidogo ambayo kabla ya kupata uthubutu wa kuandika eti weusi tumezidiwa akili na maarifa na weupe:
- Aliyevumbua Carbon filament ya bulb uitumiayo leo aliitwa Lewis Latimer 1848-1928 huyu kijan mweusi pia alifanya kazi bega kwa bega na Alexander Graham Bell kwenye project ya 'simu'

- Aliyevumbua Artificial heart pacemaker control unit inayosaidia watu hadi leo ni mwanabaiolojia mweusi Otis Boykin 1920-1982.

- Fire proof gas mask itumiwayo na fire fighters today ilivumbuliwa na Garret Morgan (mweusi).

- Multiplex Telepgraph ni uvumbuzi wa mtu mweusi Granville T. Woods mwaka 1856.

- Blood Transfusion, mwanasayansi mweusi, Charles Drew.

- Hizo railways locomotive zilitegemeva uvumbuzi wa 'lubricating cup' (automatic oil drip) kutoka kwa mwanasayansi mweusi Elijah McCoy.

- Xray spectrometer uitumiayo leo ni matokeo ya uvumbuzi wa George Alcorn.

And the list goes on and on, wapo wengi sana, na wengine wengi ndio waliofanya ground work kwenye maabara ambazo zilisimamiwa na hao wazungu waliojipachika uvumbuzi.
Sasa ndugu yangu uache akili mgando za kikoloni ujue kitu kimoja muhimu, kuwa uwezo wa kimaarifa uliopo kwenye ubongo wa binaadamu Mungu hakuugawa kwa upendeleo. Sisi wote ni sawa.
Acha uvivu, fanya utafiti wenye uwiano kabla ya kuandika makala yenye maudhui mazito hivi.
 
Khaa, hawa wana sayansi "weusi" mbona wote wana majina ya Kizungu? Tena majina ya Kingereza tupu???? Nina wasiwasi na ukweli hu!
 
Hata wazungu wamehangaika sana, usidhanie kuwa maendeleo waliyonayo yametokea usiku mmoja.

Ni miaka maelfu nyingi sana wamepambana. Ila, wazungu wanahujumu mbinu na mikakati mingi sana ya waafrika kujikwamua.

Kwa hiyo, kama huna akili usidhanie kuwa na watu wote ni kama wewe.
Kaka, mbona kama unakubaliana na mleta uzi indirect? hizo hujuma, ujanja sio ndio kuzidiwa akili kwenyewe? AU!???
 
MBAYA ZAIDI MAJINA YAO NAYO YAMEKAA KIZUNGU HIVYO HIVYO....YAANI NI SHIDA SANA DUNIA HII..SIJUI MIAFRIKA TUKOJE. NA HAO WOTE WALIKUWA HUKO HUKO KWA WAZUNGU. HUMSIKII MWAKALELI, MANGI,MASHAKA,LUBUVA n.k wakiwa huku Bara la Giza Africa wakafanya Mambo makubwa sana zaidi ya kuchinja albino, kuua wenye vipara na kupaa na ungoau kusomena visomo vya kuumizana.
- Aliyevumbua Carbon filament ya bulb uitumiayo leo aliitwa Lewis Latimer 1848-1928 huyu kijan mweusi pia alifanya kazi bega kwa bega na Alexander Graham Bell kwenye project ya 'simu'( akiwa marekani sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Aliyevumbua Artificial heart pacemaker control unit inayosaidia watu hadi leo ni mwanabaiolojia mweusi Otis Boykin 1920-1982.( akiwa marekani sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Fire proof gas mask itumiwayo na fire fighters today ilivumbuliwa na Garret Morgan (mweusi).( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Multiplex Telepgraph ni uvumbuzi wa mtu mweusi Granville T. Woods mwaka 1856.( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Blood Transfusion, mwanasayansi mweusi, Charles Drew.( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Hizo railways locomotive zilitegemeva uvumbuzi wa 'lubricating cup' (automatic oil drip) kutoka kwa mwanasayansi mweusi Elijah McCoy.(huyu hakuwa mweusi ni mcanada mwenye asili ya marekani)

- Xray spectrometer uitumiayo leo ni matokeo ya uvumbuzi wa George Alcorn..( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

Huna hoja wewe, kwahiyo wazungu wavumbuzi waliokulia Africa utawaongeleje? wazungu wanaokuja kufanya uvumbuzi huku Africa utawaongeleaje? eti ukikaa na uaridi, hivi unajua maana ya uvumbuzi?

Haya utamuongeleaje Hesse? ( maybe hata kumjua humjui) huyu ni Mghana? Unaijua Softtribe wewe?
Fanya tafiti acha uvivu wa kutukuza wazungu!
 
MBAYA ZAIDI MAJINA YAO NAYO YAMEKAA KIZUNGU HIVYO HIVYO....YAANI NI SHIDA SANA DUNIA HII..SIJUI MIAFRIKA TUKOJE. NA HAO WOTE WALIKUWA HUKO HUKO KWA WAZUNGU. HUMSIKII MWAKALELI, MANGI,MASHAKA,LUBUVA n.k wakiwa huku Bara la Giza Africa wakafanya Mambo makubwa sana zaidi ya kuchinja albino, kuua wenye vipara na kupaa na ungoau kusomena visomo vya kuumizana.
- Aliyevumbua Carbon filament ya bulb uitumiayo leo aliitwa Lewis Latimer 1848-1928 huyu kijan mweusi pia alifanya kazi bega kwa bega na Alexander Graham Bell kwenye project ya 'simu'( akiwa marekani sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Aliyevumbua Artificial heart pacemaker control unit inayosaidia watu hadi leo ni mwanabaiolojia mweusi Otis Boykin 1920-1982.( akiwa marekani sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Fire proof gas mask itumiwayo na fire fighters today ilivumbuliwa na Garret Morgan (mweusi).( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Multiplex Telepgraph ni uvumbuzi wa mtu mweusi Granville T. Woods mwaka 1856.( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Blood Transfusion, mwanasayansi mweusi, Charles Drew.( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)

- Hizo railways locomotive zilitegemeva uvumbuzi wa 'lubricating cup' (automatic oil drip) kutoka kwa mwanasayansi mweusi Elijah McCoy.(huyu hakuwa mweusi ni mcanada mwenye asili ya marekani)

- Xray spectrometer uitumiayo leo ni matokeo ya uvumbuzi wa George Alcorn..( akiwa marekani/ kwa wazungu sikatai ukikaa na ua ridi nawe unanukia)
Wewe uliongelea Wazungu na weusi, lakini sasa umebadilika, embu tuambie ulikua unaongelea bara la Afrika Vs mabara mengine au mzungu na mweusi, eti mcanada mbona kuna hadi wahindi wacanada, kama hoja yako ni utaifa au ubara weka wazi tukupe facts maana kuna uvumbuzi wa kitechnologia mkubwa tu uliofanyika Africa by waafrika, na kuna uvumbuzi mkubwa tu uliofanywa na waafrika waliokulia maisha kama yako, tatizo lako hufany reasearch, husomi, utakaa kimgandomngando hivyohivyo, hujui hata tafiti vumbuzi zilizofanywa na wazalendo wa kitanzania hapahapa nchini na zinatambulika, kutugemewa na kutumika dunia nzima. Nakuombea Mungu usiambukize wanao hayo mawazo yako duni.
 
Eti akiwa Marekani aliyekuambia Sir Alexander Graham Bell alikuwa mmarekani ni nani au hujui tofauti ya Marekani, Ulaya na Asia, hivi unajua kuna watu weusi, weupe, wekundu na wanjano? embu weka uwiano hapo wa kimaarifa kutoka kwenye 'mawazo' yako.
 
Sio kwamba waafrika hatukuwa na uvumbuzi wetu mkuu.Ila historia iliharibika baada ya kuja mzungu na muarabu.
Ila nakiri kabisa kuwa jamaa walianza kutuacha MBALI MNO toka miaka ya nyuma.Ndio maana wakaweza kuja hadi huku na kututawala hala wakiwa wachache sisi wengi.Mwenye akili na atambue hili....
Kwanini vumbuzi zetu ziharibike ndio kutokuwa na akili huko, kubali tu yaishe kuwa uwezo Wa kufikiri ni mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wazungu wamehangaika sana, usidhanie kuwa maendeleo waliyonayo yametokea usiku mmoja.

Ni miaka maelfu nyingi sana wamepambana. Ila, wazungu wanahujumu mbinu na mikakati mingi sana ya waafrika kujikwamua.

Kwa hiyo, kama huna akili usidhanie kuwa na watu wote ni kama wewe.
Kwanini tuhujumiwe, kwanini usihujumu wew? Tuna uwezo mdogo kuliko wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna waafrica wengi sana wamefanya gunduzi mbali mbali ambazo mpaka sasa zinasaidia ulimwengu.ila kiukweli sisi waafrica (rangi nyeusi)kuna tatizo mahala furani aiseee,
kwanini tutawaliwe?
kwanini tufanywe watumwa sisi na wao?
kwanini baada ya uhuru tusiseme sasa basi ,yani tubadiri mfumo wa maisha na sio kufata mfumo wao?
sawa tumefuata mfumo wao ,kwann tumeshindwa kuendeleza pale walipotuacha?

kuna namna hapa sio bure
 
Mengine umesema kweli lakini si Kama ni kweli brain capacity ya waafrika ni ndogo kuliko ya wazungu.
Sababu kubwa extent of invironmental challenges amboyo ni factor muhimu inoyoweza kumfany mtu afikiri.
Yule anayetangulia humfanya anyekuja kuzubaa. Mfano mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini nani hupambana zaidi.
Baada ya wazungu kututangulia imekuwa Kama tumelogwa tunafuata nyuma yao Kama mbuzi wa kafara.
Waafrika wamebweteka na kuendekeza ujinga but they can do wonders only Kama watajitambua. Viongozi wa Afrika ndo usiseme kabaisa wanawaza utukufu na mafaraka Kama fisi na mfupa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom