GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Mpaka mwaka 2017 huu au karne ya 21 waafrika tunahangaika na mambo madogo sana ambayo wazungu walihangaika nayo miaka kenda na kenda huko nyuma. waafrika tunapigania haki ya kutambulika duniani. huu tayari ni udhaifu. ukiona mwanamume anataka atambulike kwa mkewe au watoto wake kuwa yeye ndo baba au naye ni baba basi ujue kuna shida. tumebaki na kuhangaika na vitu vya kipuuzi.leo mtu anahangaika ku prove kuwa Waisrael asilia ni weusi. so what? mpaka mtu analazimisha au hangaika kusema Yesu Kristo alikuwa mweusi. ok alikuwa so what?
wazungu au watu weupe ndo wamevumbua.
tuwapinge wazungu kweli kweli kwa kubuni vitu vyetu wenyewe na tuavhe kutumia vyao.wana nguvu sababu wao wana akili kutuzidi. wakati sisi tunafikiria zaidi kuoa na kuoana au kuazaana wao wanafikiria namna gan watabadilisha maisha ya wanadamu. hata asilimia 80 kama si 100 ya michezo maarufu duniani asili yake ni huko. au wao wameendelea nayo zaidi kuliko sisi.
waafrika hatuna akili sana kama wazungu au tuna tatizo sehemu flan. angalia chaguz zetu,angalia serikali zetu,angalia vipaumbele vyetu, angalia maisha yetu, angalia tuavyoishi kwa kuwasingizia wazungu kila kitu.
ile wao kuja kututawala tu tayari maana yake sisi hatuna akili wao wanazo nyingi imagine walikuja wangapi wakatutawala sisi wenyeji wengi kwa kuweka mifumo mbalimbali? ukisema wanatugombanisha basi ujue pia ni sababu wao wana akili kuliko sisi wapumbavu tunaogombana wenyewe kwa wenyewe. najiuliza waafrika tuna tatizo gani?
nimewaza mambo haya kwa uchungu sana na nikaja pata jibu moja tu kuwa wazungu wao wana akili zaidi kuliko sisi. miaka 50 baada ya kujitawala bado tuna mambo mengi ambayo tuna tegemea kutoka kwao au waliyotuachia miaka hiyo mingi. na bado kuna mtu anakuja kuning'iniza korodani zake tu mwili hapa anasema wafrika waafrika ukimuuliza tunafanyaje kujitoa kwenye utegemezi... hana namna isipokuwa ni kudai haki ya mtu mweusi. HAKI HAIDAWI, INAKUWEPO TU. kama ukiona unadai utambulike basi ujue we hutambuliki. leo hii magufuli au lowassa akienda sehemu na kutaka watu wamjue yeye ndo lowassa au magufuli ujue kuna shida sehemu. inatakiwa tu akienda sehemu watu wamfaham.
HIVI UNAWEZAJE KUPINGA AKILI ZA WAZUNGU IKIWA HUWEZI ISHI MAISHA YA FURAHA BILA KUTUMIA VITU VYENYE UBUNIFU WAO? TUANGALIE TU MAMBO HAYA.
1. Simu
2. laptop
3. ndege
4. magari
5. tv
6. mashine za kusaga
7. mashine za ku blend chakula
8. friji
9. ac
10. feni
11. nguo tunazovaa
12. usindikaji wa vyakula
13. madini
14. mafuta
15. umeme
16. mfumo wa maji
17. elimu
18. meli/boat
20. ujenzi wa maghorofa makubwa
21. madaraja
22. utunzaji wa vyakula
23. radio
24. matumizi ya lami
25. train
26. bunduki
27. mabomu/mizinga
28.
na mambo mengne meeeeengi sana.
yaani unakaa hapo asilimia 90 ya hivi vitu ni made by wao... sisi vingine hata ku copy kama wao tunavyodai walicopy kwetu tumeshindwa. how can we be sitting here and telling ourselves that we are smart? when everytime i look around i see things made by the europeans and asians. sisi tunaloweza sana ni kuua albino ili watusaidie tupate utajiri wa kwenda kununua vitu vya kizungu. tunaua albino ili tushinde kwenye uchaguzi, tunaua albino ili tupendwe na wananchi tufaidike kisiasa. haya ndo tunayoyafanya. we are so hopeless. tunajitahidi kujitetea but tumeshindwa. ananmbie mtu anayetumia asilimia 70 ya vitu vyake ambavyo ni ubunifu wa waafrika na kutengenezwa africa. hata kama wenzetu wamewah kupitia tuliyoyapitia kama ukoloni, shida n.k lakini wao waliweza kutoka hapo na kusonga mbele kwa nini sis bado tuishi kwenye kile kivuli ?
wazungu au watu weupe ndo wamevumbua.
- 1.Modern Agriculture
- 2 Ceramics
- 3 Clock making
- 4 Clothing manufacturing
- 5 Communications
- 6 Computing
- 7 Criminology
- 8 Cryptography
- 9 Engineering
- 10 Food and drink
- 11 Household appliances
- 12 Industrial processes
- 13 Medicine
- 14 Military
- 15 Mining
- 16 Musical instruments
- 17 Photography
- 18 Publishing firsts
- 19 Science
- 20 Sport
- 21 Transport