ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

Huyu mkurugenzi wa acacia zero kabisa. Eti hayo madini mengine hayana thamani, sasa si wangeturudishia tu na kusema baada ya kuchenjua tumepata madini haya hayana thamani kwa hiyo tumeyarudisha. Hayana thamani alafu wanabaki nayo. Alafu huku kwetu vyuma chakavu tu vinathamani itakuja kuwa madini.
Mkuu ukisoma kwa makini kasema hta kma yangeamua kuuzwa gharama ya kuyachenjua ni makubwa kuliko thamani yake hivyo akimaanisha hayaleti fauda whether wayachenjue au wasiyachenjue ssa unaposema wayarudishe huku Tanzania wwe una mashine za kuchenjua??? Au wakati serikali wanasaini mkataba ya kijinga hivi na kukubali hayo ulikuwa wapi kumwaga povu kma hili?????

Funny!!
 
Auditing Firm Zote ikiwemo PWC wanachokifanya wanaofanya Statutory Auditing kwa hiyo we cannot rely na hizo auditing Reports.
Unakariri, basi tuambie "is according to whom" Soma uhusiano wa Audit in Source and Selling Points.
 
Mwalimu J Nyerere aliwaambia watanzania na wale walavi wa Lumumba , Sie bado kuanza kuchimba madini. Matokeo yake akaishia Uingereza, Faida ya maneno yake ndio hii tunaiona sasa. Lumumba mnatuumiza watanzania jamani.
 
Nadhani Dragoon ungekuwa kiongozi wa nchi yetu basi tungekuwa masikini mpaka mwisho wa dunia! Acacia watakuja na misimamo yao maana wao ndiyo wamefaidika kwa miaka yote hiyo. Hivi unafikiri watasema 'sawa, kamati ya Rais iko sahihi' kirahisirahisi tu?
Sasa its obvious wameshikilia msimamobna mwisho wa siku watakimbilia ICSID na ndipo tutajua mbivu na mbichi maana serikali ipo right na acacia pia nao wanadai wapo right!!! So its a zero-some game!!! maana haya mambo ni kisheria tukibugi kma alivosema mtoa mada yatajurudia ya IPTL na DOWANS!!!

Kwa hili ntamkumbuka sana mzee warioba aliona mbali ingawa alipuuzwa na chama tawala ndo madhara yake haya
 
Hapa mkuu ndio kunaleta mashaka makubwa sana, Hapa ni sawa na kusema deposit zao ziko mara 10 zaidi, alarm bado Tanzania ni Nchi ya 4 kwa uzalishaji Dhahabu Africa.

Anyway nagoja tutulie tusubiri kuona full report, tunaweza tukajadili vizuri zaidi.
Yaan nyie watu hizo bongo zenu....hayo mataifa mengine pia wanachimba wao wenyewe na washirika wao so wote lao moja na kote wanaiba hivyo ni utashi wa nchi husika kaamua kuzuia wizi au viongozi kaamua kuiba nao.
 
Mkuu ukisoma kwa makini kasema hta kma yangeamua kuuzwa gharama ya kuyachenjua ni makubwa kuliko thamani yake hivyo akimaanisha hayaleti fauda whether wayachenjue au wasiyachenjue ssa unaposema wayarudishe huku Tanzania wwe una mashine za kuchenjua??? Au wakati serikali wanasaini mkataba ya kijinga hivi na kukubali hayo ulikuwa wapi kumwaga povu kma hili?????

Funny!!
Kwenye mikataba, swala la kusafirisha michanga nje lipo silence. Hakuna mkataba unaosema michanga isafirishwe for your information. Kama mkata ungekuwa unasema michanga isafirishwe isingezuliwa. Ingekuwa inaendelea kusafirishwa na auditing ingeendelea
 
Na share zimeporomoka haraka
9f872736060530ccef0f888c55f82212.jpg
 
Hili limejulikana leo mama? Tangu lijulikane,ni hatua gani zimechukuliwa ili kuhakikisha "hatuibiwi" tena kwa njia hii na nyinginezo zinazotumika kutuibia?
Political will ndo ilkuwa tatizo, ndo maana unachukiza kuona mambo ya hovyo tulokuwa tukiyalalamikia miaka nenda rudi yameanza kushughulikiwa badala ya kumuunga mkono Rais tunakebehi..
 
Sasa its obvious wameshikilia msimamobna mwisho wa siku watakimbilia ICSID na ndipo tutajua mbivu na mbichi maana serikali ipo right na acacia pia nao wanadai wapo right!!! So its a zero-some game!!! maana haya mambo ni kisheria tukibugi kma alivosema mtoa mada yatajurudia ya IPTL na DOWANS!!!

Kwa hili ntamkumbuka sana mzee warioba aliona mbali ingawa alipuuzwa na chama tawala ndo madhara yake haya
Hii issue wala sio ngumu kama mnavyofikia, msiitie ugumu kabisa. Kila mtu ana haki ya kuamini report yake. Wao waamini ya kwao na sis ya kwetu. Ikifikia hapo wasubiri tunanunia smelter wafanyie shughuli zao hapa. Simple
 
Yaan nyie watu hizo bongo zenu....hayo mataifa mengine pia wanachimba wao wenyewe na washirika wao so wote lao moja na kote wanaiba hivyo ni utashi wa nchi husika kaamua kuzuia wizi au viongozi kaamua kuiba nao.
Kwa hiyo viongozi wetu waliopita walikuwa wanashiriki katika wizi? Kama ni ndio,wachukuliwe hatua gani? Na ni nani wa kuwachukulia hatua? Ni sahihi kulilia "thamani ya makinikia" badala ya kuanza na mrabaha wa 4% tuipatayo ya mali yetu tuliyopewa na Mungu? Tunatokaje hapa sasa.
 
Jamaa wamekuja.....

By Brad Gordon | Chief Executive Officer | Acacia Mining PLC
Response to this morning’s Press Conference and presentation of the First Presidential Committee’s report on the export of metallic mineral concentrates to the President of Tanzania.

Many of you would have seen this morning’s press conference held at State House at which the First Presidential Committee presented its findings on its investigation into the export of gold/copper concentrates.

The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate that it exports and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

We do not agree with the Committee’s findings which state that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar-es-Salaam port is more than 10 times the amount we declare. We are confident in the accuracy of our declarations which are checked and verified by SGS, which is one of the world’s largest testing companies. The concentrate we produce has some small variances, and each container has different declared quantities of concentrate, but we firmly believe that each container contains on average around 3,000kg of copper, 3 kg of gold and 3 kg of silver. Together, these metals are worth an average of Tsh300 million per container.

We are also a listed company with our accounts being audited extensively by PWC, which verifies that we are fully transparent in everything we do. The revenues we state in our audited accounts match the amount of gold that we declare we produce and sell. If the amount of gold in our concentrates was in line with the Committee findings, then it implies that both Bulyanhulu and Buzwagi would produce more gold than any other mine in the world. Sadly this is not the case.

I appreciate that when events like today happen it creates uncertainty and makes people question who to believe. I want to reassure you that Acacia fully declares everything of commercial value that we produce. We also pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce and that the exporting of the concentrate takes place in full compliance with Tanzanian law and the legal agreements that we have with the Tanzanian Government.

Whilst we have listened to today’s presentation and seen a transcript of the press conference, until we receive a copy of the full report it is difficult to comment on or reconcile the specific numbers and values attributed to Acacia’s metallic mineral concentrates by the Committee, but I repeat, we believe in the numbers we declare.

Whilst we await the report I will respond to one question about royalties that has been raised among the workforce. Under the mining act the Government receives royalties of 4% of the minerals of commercial value namely gold, silver and copper contained in the concentrates. Acacia has always paid the royalty and there is a robust audit trail to demonstrate this. Whilst there are other minerals contained in the concentrate, these are of no commercial value. This is due to the small quantities and the cost to extract them exceeds their value, and so no royalty is due.

Obviously today has been a difficult day for everyone at Acacia. I can assure you that we are doing everything we can to ensure that all of our stakeholders believe in the integrity of Acacia. We have fully declared everything that we produce and have done so since Barrick first entered Tanzania over 15 years ago. We have not cheated the country that we operate in and whose people make up 96% of our workforce. Please continue to work safely as that is the most important thing and I will continue to provide you with updates and hopefully clarity as we move through the coming weeks.


View attachment 513955
View attachment 513956



You never agree with anything, you are only interested to make money. With our corrupt officials, you take advantage with our situation just like other cases. You are known for breaking the law with impunity knowing that our justice system is wick you can bribe and get away of murder. As Mary Milne described on her artical underneath.



Mind the justice gap: The abuses British companies get away with overseas


…[V]ictims of corporate abuse in countries with weak judicial systems have not been able to get their cases heard…As Western companies have grown and internationalised over the past couple of decades, the impact they are having on people around the globe has grown too. But while profits flow, accountability does not. The gap in accountability is well known…the UK government’s own National Action Plan reiterates that the state duty to protect human rights includes ensuring access to remedy…And in the absence of serious political leadership, the buck is being passed between civil servants in the Department of Business, the Foreign Office and the Ministry of Justice…Today’s [Global Law] Summit celebrates the ‘Rule of Law as the cornerstone of a fair and just society’. We are proud of the UK’s legal tradition, but…too many overseas victims of corporate abuse by UK companies are denied a hearing in the UK…[Also refers to Acacia (formerly African Barrick Gold)]
 
Sasa its obvious wameshikilia msimamobna mwisho wa siku watakimbilia ICSID na ndipo tutajua mbivu na mbichi maana serikali ipo right na acacia pia nao wanadai wapo right!!!
Sio kila dispute inaanzia mahakamani na inaishia na fine; as yet hakuna anaejua mbele heck kuokoa gharama kila upande inaweza kuona umuhimu wa kuanza na ADR.
 
Back
Top Bottom