ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

huu upumbavu waupeleke huko huko kwao,yani bado wana ujasiri wa kuandika huu upuuzi!! eti ''we believe"....hawa hatuwaamini tena,ningekuwa mimi ndio Raisi ningewafukuza kabisa nchini kwa kuhujumu uchumi.hiii vita kwa sasa tutapigana wanatanzia wote na wasifikiri tutamuachia Raisi wetu mwenyewe.binafsi sikutegemea kama watakubaliana na riport hii maana imewaacha UCHI,tunaisubiria hiyo kamati inayohusika na mambo ya sheria itupe muongozo then tuwagonge nyundo hapo ndio watajua Watanzania tumeamka.
 
Ninauhakika 100% kuwa ktk swala hili LA madini lazima hawa acacia wanatuibia, kampuni IPI tena ya kigeni, yaani ifanye shughuli zake bila kuiba, haijawahitokea. Hizi audit wanazofanya sijui PWC au nn vile so reliable kivile. Ninafanya kazi kwenye kampuni fulani, huwa kuna maauditors wanatukagua lakini magumashi tu kutimiza sheria. Audit inayofanywa na TRA angalau huwa inanguvu kuliko hata ya ma external auditors.
 
Jamaa wamekuja.....

By Brad Gordon | Chief Executive Officer | Acacia Mining PLC

Response to this morning’s Press Conference and presentation of the First Presidential Committee’s report on the export of metallic mineral concentrates to the President of Tanzania.

Many of you would have seen this morning’s press conference held at State House at which the First Presidential Committee presented its findings on its investigation into the export of gold/copper concentrates.

The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate that it exports and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

We do not agree with the Committee’s findings which state that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar-es-Salaam port is more than 10 times the amount we declare. We are confident in the accuracy of our declarations which are checked and verified by SGS, which is one of the world’s largest testing companies. The concentrate we produce has some small variances, and each container has different declared quantities of concentrate, but we firmly believe that each container contains on average around 3,000kg of copper, 3 kg of gold and 3 kg of silver. Together, these metals are worth an average of Tsh300 million per container.

We are also a listed company with our accounts being audited extensively by PWC, which verifies that we are fully transparent in everything we do. The revenues we state in our audited accounts match the amount of gold that we declare we produce and sell. If the amount of gold in our concentrates was in line with the Committee findings, then it implies that both Bulyanhulu and Buzwagi would produce more gold than any other mine in the world. Sadly this is not the case.

I appreciate that when events like today happen it creates uncertainty and makes people question who to believe. I want to reassure you that Acacia fully declares everything of commercial value that we produce. We also pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce and that the exporting of the concentrate takes place in full compliance with Tanzanian law and the legal agreements that we have with the Tanzanian Government.

Whilst we have listened to today’s presentation and seen a transcript of the press conference, until we receive a copy of the full report it is difficult to comment on or reconcile the specific numbers and values attributed to Acacia’s metallic mineral concentrates by the Committee, but I repeat, we believe in the numbers we declare.

Whilst we await the report I will respond to one question about royalties that has been raised among the workforce. Under the mining act the Government receives royalties of 4% of the minerals of commercial value namely gold, silver and copper contained in the concentrates. Acacia has always paid the royalty and there is a robust audit trail to demonstrate this. Whilst there are other minerals contained in the concentrate, these are of no commercial value. This is due to the small quantities and the cost to extract them exceeds their value, and so no royalty is due.

Obviously today has been a difficult day for everyone at Acacia. I can assure you that we are doing everything we can to ensure that all of our stakeholders believe in the integrity of Acacia. We have fully declared everything that we produce and have done so since Barrick first entered Tanzania over 15 years ago. We have not cheated the country that we operate in and whose people make up 96% of our workforce. Please continue to work safely as that is the most important thing and I will continue to provide you with updates and hopefully clarity as we move through the coming weeks.


View attachment 513955
View attachment 513956
We knew mining companies wouldn't accept the findings of the presidential committee especially if the committee reported something
contrary to their expectations.But who does not know that Europe and America have been stealing our resources.They are reach because they steal from us, otherwise they are extremely poor!
 
Kuna tume inayohusisha wanasheria nayo itatoa ripoti yake na mapendekezo.
Rais hajatoa conclusion na ndio maana amesema wanasubiri mapendekezo ya tume zingine kwanza.
Sasa kama wanasheria wamejumuishwa kushauri unamashaka gani na wansheria wetu.
Hii ni vita ya uchumi angeweza rais kuangalia na kukaa kimya kama waliomtangulia na tukaendelea kualalamika tuuuu
si angesubiri tume ya pili kuwasimamisha aliowasmamisha kazi na aliosema wachunguzwe na vyombo vya usalama?!!!!
 
..We do not agree with the Committee’s findings which state that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar-es-Salaam port is more than 10 times the amount we declare. We are confident in the accuracy of our declarations which are checked and verified by SGS, which is one of the world’s largest testing companies

Nadhani ilikuwa kosa kutowaita hawa jamaa especially wakati wanafanya sampling na upimaji wa concentrates. Pale wangekubaliana methods ipi ni accurate zaidi na recognized internationally. Usikute kamati ilitumia methods za mwaka 47...
 
Watanzania bwana kuna jambo moja hua mnasahau, nimemsikia mwenye nchi yake anapiga hesabu toka 1998 tumeibiwa kiasi gani cha fedha kwa kusafirisha mchanga nje, wakati huo huo mtanzania anashindwa kujiuliza kwani toka 1998 ni akinanani walikua wanaongoza hii nchi??? Walikua wanatunga sheria za hii nchi, akinanani walipaswa kuisimamia hii nchi isifike huko ilikofika??? Kama sio hawa hawa wamekuja na sura nyigine mwili uleule????

Yaaani nchi muiingize kwenye matatizo wenyewe tena makubwaaaaa, ya rushwa umasikni ufisadi wakutosha afu leo mnajitia inawauma sanaaaaaaaa, eti mmeumia mmeibiwa sana sasa imetosha, unafki wahali ya juuu!!

ivi uyu 1998 si alikua kwenye serikali kama waziri, nayeye alifanya nini????? Alishauri nini?? Kama alivyo mtumbua mhongo kwa maswali hayo kwamba alikua anafanya nini na yeye alifanya nini?? Eti kathubutu, kathubutu nini mfano!???kutuonesha chama chake kilivyo na watu weziiiiii?? Kilivyo shindwa kusimamia mali za nchi??? Afu mnapiga kelele mnaambiwa kabisa lichama na serikali yake ndio limefanya haya toka 1998 mnakenua!!! Haya Tunalipwa sasa?!!! Au nimwendo wa time na kamati kutoa ripoti kisha kutumbua na kutengua then miaka 5 kwishney nothing new??

Na Nyie vyombo vya usalama mlioambiwa mchumguze na kukamata walio husika kwenye hili msiishie hapo tu mchunguze wooote walio kua serikalini toka uhuru kwa kutuletea haya matatizo na myakamate kabisaaaaa yoote majizi yalioifikisha nchi hii hapa afu leo wanajifanya eti ni akina malaika wamekuja kutuokoa!!! Eti inawauma, inawauma nini??? Inawauma kushiriki udalali wakutuibia chini ya mwavuli wa lichama menu au???

Ujinga hii nchi bado upo mkubwa sanaaaaa!! Yaaani mvuruge wenyewe afu saiz mnajitia kutafuta mchawi!!!???
 
Tusijeingizwa Chaka Kama Lile La Ile Meli Ya Uvuvi Tu...

Haya Mambo hayahitaji sifa sana na maneno maneno, Cha Kwanza Cha Muhimu ilibidi turekebishe kwanza Sheria Zetu then Tufanye Review ya Mikataba Otherwise ngoja namimi nijiwekee akiba ya Maneno.
 
Tusijeingizwa Chaka Kama Lile La Ile Meli Ya Uvuvi Tu...

Haya Mambo hayahitaji sifa sana na maneno maneno, Cha Kwanza Cha Muhimu ilibidi turekebishe kwanza Sheria Zetu then Tufanye Review ya Mikataba Otherwise ngoja namimi nijiwekee akiba ya Maneno.
Hapa tume imechunguza
 
Back
Top Bottom