Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali
Amefanya hivyo kutokana na imani aliyonayo kwa CHADEMA na hakufanya hivyo kama rushwa ya kuishawishi CHADEMA wampe ubunge kama wanavyofanya wafuasi wa CCM ambao ukiona wanajifanya kupigania chama ujue kuwa wanachotaka ni maslahi na siyo kukipigania chama.
 
sasa hivi CHADEMA kinaongozwa na makapi ya CCM....makamanda waliokipigania chama wote wametupwa kapuni

Lowassa ndio 'Rais wa Mioyo Yao ' baada ya Slaa kujiuzulu Urais huo!

Sumaye Mwnkt wa Kanda ya Kaskazini

Makongoro Mahanga nae kuna Cheo kapewa Pale Ilala

Mama Lowassa alikataa Ubunge wa Viti Maalum Ila alishapewa

Ester Bulaya Mbunge

Mbunge wa Simanjiro alitoka CCM

Lembeli alipewa fursa ya kugombea na kuwapotezea Wana Chadema wa Kahama

Sailed Mkumba aliteuliwa kugombea Sikonge baada ya CCM kumtema japo alikuwa Mbunge anaemaliza Muda wake

Ukitokea CCM unakuwa na kura ya Turufu kwny nafasi yoyote unayogombea na wana Chadema asilia!
 
Awe mbunge kwani anampa Gastura nanii kama Mukya? Afu yule sio mchaga so hapati
 
Amefanya hivyo kutokana na imani aliyonayo kwa CHADEMA na hakufanya hivyo kama rushwa ya kuishawishi CHADEMA wampe ubunge kama wanavyofanya wafuasi wa CCM ambao ukiona wanajifanya kupigania chama ujue kuwa wanachotaka ni maslahi na siyo kukipigania chama.
Masha ameifanyia nini CHADEMA mpaka azawadiwe ubunge? Masha alikuwa mzigo CCM mpaka aklapigwa chini lakini cha ajabu sasa hivi anaonekana lulu CHADEMA
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Laki si pesa kuishauri CDM ni sawa na shetani kumshauri Mungu. Kama anafaa sana basi Lumumba mpeni nafasi, halafu naomba unifafanulie maana ya neno MAKAPI, pengine sijaijua vyema, KAPI WEWE!
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.

Laki si pesa alistahili kabisa ubunge wa EALA. huyu jamaa amekuwa vuvuzela muaminifu kwa kuhara kila aina ya ushuzi wa ccm hapa jukwaani.

Amejitoa akili kabisa ili tu kutimiza matakwa ya kishetani ya ccm kwa muda wa kutosha sasa.

Ni hakika laki si pesa ni mtoa pumba za viwango halisi vya kiccm na wala hakuna wa mfano wake. Akili za laki si pesa na za bashite ni moja. Tena akili za laki si pesa na za mpiga push up wa chato zinafanana sana kama maganda ya korosho.

Enyi ccm mtamtumikisha laki si pesa mpaka lini bila kumkumbuka kwa vinafasi vidogovidogo kama hivi vya ubunge wa EALA. CCM muwe na huruma kwa hawa mawakala wenu watiifu jamani msiwavunje moyo khaaaa
 
Kwanza sio mchaga
Pili sio Muislam
Tatu hajamfata Gastura chamber
 
tupieni kapicha tafadhali.. tuone kama alifaa kuwa vitu maalumu
 
Tatizo la chadema siku zote ni kuukimbia ukweli, inahitaji uwe chizi ndio ukipiganie hiki chama, wakielezwa ukweli wanakuja juu. Maybe huyo dada ana misimamo mikali ya kiimani hataki kutoa mbunye ndio kinamgharimu
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Usawa wa kiimani? Yani ateuliwe kwa sababu ya dini yake?
Hoja ya kipuuzi sana
 
Na alisema ''gereza si Sheraton''wakati manyumbu wakikiona cha moto ,leo hii ndio kawa jembe,hakika Dj na nyumbuz hawana ''kumbukumbu''
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Ok yule dada wakoo sawa kahisa.. unajua nakupinga bas tu kwa sababu hujawahi iombea mazur ila kwa hili kuna harufu ya ukweli

KWANI CHADEMA KUPELEKA MMAMA MMOJA NI UGOMVI NA SHIDA IPO WAPI MBOWE UNAKERA SANA..
KITU KIDOGO TU MIVUTANO YAANI HATA HILI .. YANI CHADEMA TUNAPUNGUKIWA NINI TUKIWEKA MMAMA MMOJA NA JAMAA ESPECIALLY WENJE kuna shoda gani hapo... tutazikosa kura za wa mama kifala sana... mi nauliza tu.. ujinga ni kuunga mkono kama majamaa ya ccm huku leta hoja ukubaliwe.. yaani hili la usawa kwa wamama ! Tumechemka kwani shida ipo wapi kama vipi pelekeni wamama wote.SAWA tu.
 
Wana jf.
Nimemfahamu kamanda Nusrat Hanje kwa muda mrefu ni mchapakazi, hodari, mfia chama,mwadilifu amekipigania chama kwa hali na mali pamoja na kukatwa jina kifitina kwenye ubunge wa viti maalum bado ameendelea kuwa mtiifu kwa CHADEMA.

Haiwezekani mtu kama Lawrence Masha amejiunga CHADEMA juzi tu muda wote aliokuwa CCM aliwanyanyasa sana upinzani leo anapewa ubunge lakini makamanda waliokipigania chama muda mrefu mpaka wengine kulala rumande wanatoswa .

Nusrat Hanje angeleta usawa wa kijinsia na kiimani ndani ya CHADEMA na kuondoa dhana ya ubaguzi unaohisiwa kuwepo na pia ingewasaidia sana CHADEMA kutoonekana imetekwa na makapi kutoka CCM huku makamanda waliokipigania chama muda mrefu kwa hali na mali kuwekwa kapuni huku genge la Lowasa likionekana kukiteka chama.
Nusrat namjua ni mmoja ya hazina kubwa sana ya uongozi hapa tanzania na anastahili sana uongozi wa juu kwenye chama ila pliz acha upotoshaji wwe nusrat hanje hajawahi kuchukua fomu za viti maalum yye aligombea za jimbo alipokosa akakaa pembeni unlike kina upendo peneza waliochukua fomu za viti maalum so sio kwamba alikatwa ila hakuchukua fomu.
 
NAUNGA HOJA MKONO HOJA HUYU DADA SIJUI AMEWAKOSEA NINI CHADEMA
aligombea kura za maoni kigamboni akaanguka basi hakufuata fomu za viti maalum ssa ulitaka mbowe amchomeke tu afu mseme anakuja na majina mfukoni. Anyway ni mwenyekiti wa bawacha/bavicha kigamboni na pia amefanya kazi makao makuu muda mrefu tu ssa kma wanaugomvi naye wangempa post zote hizo???
 
Lowassa ndio 'Rais wa Mioyo Yao ' baada ya Slaa kujiuzulu Urais huo!

Sumaye Mwnkt wa Kanda ya Kaskazini

Makongoro Mahanga nae kuna Cheo kapewa Pale Ilala

Mama Lowassa alikataa Ubunge wa Viti Maalum Ila alishapewa

Ester Bulaya Mbunge

Mbunge wa Simanjiro alitoka CCM

Lembeli alipewa fursa ya kugombea na kuwapotezea Wana Chadema wa Kahama

Sailed Mkumba aliteuliwa kugombea Sikonge baada ya CCM kumtema japo alikuwa Mbunge anaemaliza Muda wake

Ukitokea CCM unakuwa na kura ya Turufu kwny nafasi yoyote unayogombea na wana Chadema asilia!
Ila hapo hapo unasahau shonza na mwampamba walikuwa ni bavicha tu ila siku wanahamia CCM hadi kikwete aliwapokea na wakapewa vyeo huku hawajamaliza hta miaka 3 CCM !!!!
 
Tatizo la chadema siku zote ni kuukimbia ukweli, inahitaji uwe chizi ndio ukipiganie hiki chama, wakielezwa ukweli wanakuja juu. Maybe huyo dada ana misimamo mikali ya kiimani hataki kutoa mbunye ndio kinamgharimu
huyo dada ni kiongozi wa chadema huko kigamboni pia amefanya kazi makao makuu miaka mingi ssa kwani uongozi ni ubunge tu???
 
Back
Top Bottom