Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,761
- 165,354
Hata hizi ndege zinaweza kuwa ni majanga tu!
Nadhani jamaa akikumbuka message yake aliyoitoa muda huo uliopita ataamini watu huwa hawakurupuki wanapotoa ya moyoniUsikurupuke, kasome sheria ya nanunuzi, sio kupindishapindisha mambo utakavyo.
Kwenye ini kabisa au jichoJipu la MV Dar lipo kwenye kona kali ya mwili,
Hapa hata kama utakuwa fisadi wa kutupwa utalindwa tukuna gazeti leo limeandika vigogo 500 kuojiwa kuhusu mali zao zilivyopatikana, tunatumaini na waliousika kwenye hilo tukio la ununuzi wa kivuko hicho kuwemo
"Tusifukue makaburi"
bagamoyo kuna foleni gani?
majipu mengine si lazima utumbue unameza tu dozi ya vidonge linanywea lenyewe maana majipu mengine yamekaa pabaya haishauriwi kutumbua!!
Bagamoyo road kuna foleni mida ya asbuh sana had saa 4 kuanzia Mbuyuni had Mwenge.
Na jioni kuna folen kuanzia Makumbusho hadi Tangi Bovu
Huyu kiumbe alonunua hili dude mungu anakuona,kama anasali au kuswali basi anaowaomba ni MASHETANI na si mungu tunaemjua,watanzania tumuombee laana kama ya yule aloko kisongoMtumbua jipu kumbe ni jipu.
Huyu kiumbe alonunua hili dude mungu anakuona,kama anasali au kuswali basi anaowaomba ni MASHETANI na si mungu tunaemjua,watanzania tumuombee laana kama ya yule aloko kisongo
Kuna mjeshi mmoja kanambia kimekabidhiwa kimya kimya kwa Kesho la maji na wanabadilisha jina lake, pia kinapelekwa matengenezo maana plate za chini kuoza. Songoro Marine watafanya kazi hiyoUmesikia wapi?