Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Nawakumbusha tu Mzee Cleopa Msuya alipeleka Umeme kijijini kwao huko milimani Upareni kiukweli alilaumiwa kila kona Basil Mramba naye akapeleka barabara ya Lami kijijini kwao Rombo alishambuliwa...
1 Reactions
3 Replies
125 Views
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
16 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wote humu. Nimewaza kitu hii kama itawezekana tukutane sehemu maalum kama vile Mkapa stadium au hoteli kali ama popote atakaporatibu. Lengo tujuane laivu kwa sura lakini siku...
6 Reactions
7 Replies
36 Views
Naomba tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
25 Reactions
147 Replies
3K Views
Kufuatia tukio la wa wasiojulikana kummyakua mtoto wa miaka miwili na nusu mwenye ualbino aitwaye Asiimwe Novath, na kutokomea naye, baada ya kumkaba koo mama yake anayefahamika kwa jina la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda. Ni lazima ukubali...
5 Reactions
24 Replies
406 Views
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa. Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
2 Reactions
9 Replies
204 Views
Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena. Mashoga wa Ukraine wapanga kufanya gwaride mwezi juni 2024 . Serikali ya kiev yabariki Tena jambo hilo kama ilivyobariki miaka ya nyuma. Amini usiamnini...
1 Reactions
6 Replies
334 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,414
Posts
49,774,580
Back
Top Bottom