Tulimkemea Msuya alivyopeleka Umeme kwao, tukamkemea Mramba alivyopeleka barabara kwao sasa Lisu kumshambulia Dr Mwigullu si Haki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
91,222
158,595
Nawakumbusha tu Mzee Cleopa Msuya alipeleka Umeme kijijini kwao huko milimani Upareni kiukweli alilaumiwa kila kona

Basil Mramba naye akapeleka barabara ya Lami kijijini kwao Rombo alishambuliwa na kila Mzalendo wa Nchi hii

Sasa Kwanini Tundu Lisu unamlaumu Dr Mwigullu kwa kutojipendelea na kuleta Maji kijijini kwao

Nawatakia Dominica Njema

Yohana nikiwa Lupaso - Ntwara 😄
 
Kuna kujipendelea na kutimiza wajibu.Kuna kuleta huduma na kubwaga starehe ya ufujaji.Kuna majidai na ipo heshima.Mang'oto hakuna lami halafu Kwediboma kuna hadi uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa?Usawa u wapi?
Halafu,Msuya alikemewa kwa sababu ya kauli zake za awali.Mbona JK Nyerere hakuweka lami kuanzia Bunda hadi Mwitongo au Sabasaba hadi Butiana na hakulaumiwa?
 
Nawakumbusha tu Mzee Cleopa Msuya alipeleka Umeme kijijini kwao huko milimani Upareni kiukweli alilaumiwa kila kona

Basil Mramba naye akapeleka barabara ya Lami kijijini kwao Rombo alishambuliwa na kila Mzalendo wa Nchi hii

Sasa Kwanini Tundu Lisu unamlaumu Dr Mwigullu kwa kutojipendelea na kuleta Maji kijijini kwao

Nawatakia Dominica Njema

Yohana nikiwa Lupaso - Ntwara 😄
🤣 🤣 🤣
 
We nchi hii huijui ingawa kila siku umu humu kubwabwaja. Alijenga barabara ya lami kwenda Rombo ni Kikwete. Kwanza Mramba hajawahi kuwa Rais huo uwezo wa kupeleka lami autoe wapi. Ht hilo la Msuya huna uhakika nalo, we umezoeleka kwa upotoshaji
 
Wasalimie manesi wenzako Hapo Tunduru 😂😂😂
 
Ila CCM imechoka, suala la maji nalo ni la kujadiri? Kumbe ni kweli hamna maji jimboni kwake?
 
Back
Top Bottom