Ndugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Baada ya kuuchoma na kuuharibu kabisa mji wa Kyrat Shmona na Upper Galliilee sasa Hezbollah wameanza kuuchakaza mji wa biashara wa Haifa
Ikumbukwe kuwa Haifa ndo mji kitovu cha uchumi na biashara...
Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi....Inadaiwa ni Iran keshafanya yake.
BREAKING
3 Israelis died in a car explosion in...
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
Habar ndugu zangu Jamiiforums
Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei maradufu. Kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili...
Wakuu kwema,
kama mada inavyojieleza, hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi.
Labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.