My Take
Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
Idadi ya wageni wanaoshuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), imeongezeka kutoka 300 hadi kufikia 2000. Ongezeko hilo limechangiwa na Filamu ya The Royal Tour iliyoigizwa na...
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
Habari za jioni Wakuu
Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule.
Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub, utaoshwa...
Habari za jumapili wanajamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya...
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.
Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye...
Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani?
Je, nani...
Kafulila anasema " Tatizo la ajira ni halisi lakini ni mtambukwa.
Kuna wakati sekta binafsi ilikuwa inatafuta watu wenye sifa fulani inakosa wakati sokoni kuna wasomi bila ajira.
Mtaala mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.