Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote. Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya...
18 Reactions
78 Replies
3K Views
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
7 Reactions
73 Replies
2K Views
Jambo gani naweza kufanya niweze kulinda shamba langu lisivamiwe na watu nikiwa mbali
1 Reactions
4 Replies
51 Views
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
10 Reactions
39 Replies
728 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku
1 Reactions
9 Replies
54 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
60 Reactions
189 Replies
8K Views
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
16 Reactions
93 Replies
2K Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
5 Reactions
115 Replies
2K Views
Serikalini wanalipwaje watu wenye degree ya optometry?
3 Reactions
118 Replies
5K Views
Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye...
1 Reactions
2 Replies
75 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,089
Posts
49,594,385
Back
Top Bottom