Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa. Wazungu wanasema women marry the available...
6 Reactions
78 Replies
650 Views
Salaam, Shalom!! Ni muda sasa tangu RC wa Arusha aingie kwa mbwembwe kama kawaida yake katika maeneo mengi aliyokwenda baada ya kuteuliwa kuongoza, Umati mkubwa wa watu waliokusanyika kumpokea...
16 Reactions
56 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
21 Reactions
187 Replies
3K Views
Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo...
0 Reactions
5 Replies
134 Views
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makondà kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona...
8 Reactions
104 Replies
599 Views
Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8. Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni...
5 Reactions
26 Replies
195 Views
Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti. Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake...
3 Reactions
6 Replies
421 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
16 Reactions
272 Replies
7K Views
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
0 Reactions
15 Replies
137 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,235
Posts
49,710,913
Back
Top Bottom