Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Mwanang wa pekee amefariki masiku machache yaliyopita kwa kinachosadikiwa ni neumonia Toka azaliwe alikuwa na afya njema ila ghafla alipoamka asubh saa 3 akanyonya vizuri kidogo. Ghafla akabanwa...
1 Reactions
13 Replies
85 Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
4 Reactions
44 Replies
804 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
68K Views
Habari ndio hiyo Haya mambo hayahitaji hasira
-1 Reactions
2 Replies
3 Views
Tangu ninakua nimekuwa nikisikia kauli za wanawake hawapendani, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, je, ni kweli wanawake hawapendani au ni nadharia tu ilitengenezwa kuwagawa wanawake...
3 Reactions
22 Replies
202 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
530K Views
Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada: Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu. Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione...
5 Reactions
31 Replies
200 Views
Katika viumbe vilivyoumbwa kama inavyosemekana kwa upande wa jini kila ninaesikia ni lazima usikie ni jinsia ya kike. Kila mtu akisema kakutana na jini ukiuliza ni lazma usikie ni jinsia ya...
3 Reactions
29 Replies
285 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,963
Posts
49,534,161
Members
667,294
Latest member
Jafu jafu
Back
Top Bottom