Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

@Arusha,Mama mchagga (Mmaranguu), baba mngoni Ndege mjanja hunaswa tundu bovu, baada ya kuchemka mwishowe nilisaidiwa kumpata wa kunioa 'Asante' Mama aliwakataa wachumba zangu wawili, watatu...
4 Reactions
53 Replies
632 Views
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924. Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
14 Reactions
93 Replies
2K Views
Jipatie Drone upae angani kwa bei nafuu Drone ina Sifa zifuatazo Drone ni ya kuchaji Inaenda umbali wa meter 200 Drone ina Camera Unaweza kuunganisha camera ya Drone na wifi ya simu yako...
7 Reactions
105 Replies
6K Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
15 Reactions
78 Replies
3K Views
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha.. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
31 Reactions
82 Replies
3K Views
Habari za wakti huu; Kwanza niweke wazi kwamba Mimi Nimekulia Arusha. Ninafahamu Fursa na Changamoto zilizoko Katika Mkoa wa Arusha na Ninatambua tabia na Hulka za Vijana wa Arusha.Kimsingi katika...
1 Reactions
8 Replies
45 Views
Chidy Benzi akihojiwa anasema nusu ya wasanii wa muziki hapa nchi wanalika "akimaanisha ni mashoga" https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
0 Reactions
4 Replies
36 Views
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa. Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa. Huyu...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI GARI MOJA JENERALI CHELESTINO MSOLA (MSTAAFU) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 30 Aprili, 2024...
2 Reactions
23 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,119
Posts
49,537,859
Members
667,324
Latest member
evaristy
Back
Top Bottom