Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga.
Cc. wana wa israeli wa Tanzania.
Kujeni hapa...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Tusijidanganye. CCM hawana nia ya kuona Tanzania inapata Katiba mpya inayotoa fursa bora katika utawala wa sheria nchini na ushindani sawa wa vyama vya siasa. Hilo halitakuja kutokea hata siku...
Habari wakuu naombeni msaada wenu.
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea...
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa.
Simba iniandae na Wydad...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.