Simba Itatolewa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho. Itakutana na Vigogo Wydad, Asec Mimosas na As Vita

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
8,776
10,163
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa.

Simba iniandae na Wydad , Asec na As Vita sambamba na Vigogo wengine watakofuata.
---
Football giants Simba SC should not expect a cakewalk during the next edition of the CAF Confederation Cup against formidable teams that have qualified for the competition so far.

Simba were placed third in the just-ended Tanzania Mainland Premier League to secure a slot in the CAF Confederation Cup. Young Africans (Yanga) and Azam FC will represent the country in the CAF Champions League.

Besides Simba, another team representing the country in the CAF Confederation Cup is Coastal Union of Tanga.

According to the current status of the CAF Confederation Cup, Wydad Club Athletic of Morocco, Asec Mimosas of Ivory Coast, and AS Vita of the DR Congo will feature in the competition after failing to qualify for the CAF Champions League.

Other notable African premier league teams are yet to finish their seasons, with regular teams struggling to secure slots in the CAF Champions League.

History shows that Wydad, Asec Mimosas, AS Vita and Simba had been regulars in the CAF Champions League for several years, posing strong opposition.

Simba featured in the CAF Champions League from the 2018/2019 to the 2023/2024 seasons. In the 2017/2018 edition, the Msimbazi Street giants were eliminated by Al Masry of Egypt following the away goal rule.

Simba recorded a 2-2 draw in the first leg at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam, and the second leg ended in a goalless draw in Cairo.

Records show that in the 2021/2022 season, Simba featured in the CAF Confederation Cup’s playoff after being eliminated in the second round of the CAF Champions League as per the body’s rules and regulations.

Simba qualified for the CAF Champions League quarterfinals (knockout stage) , but failed to make it to the semis.

For instance, on January 19, 2019, AS Vita Club were ruthless in front of the goal as they demolished Simba 5-0 in the CAF Champions League Group D match at the Stade des Martyrs de la Pentecôte in Kinshasa, the DR Congo.

The records also show that Simba managed to win only one out of four games they played against Wydad Club Athletics in the CAF Champions League since 2011.

The Msimbazi Street giants also have no good records to impress their fans against Asec Mimosas as the teams had five meetings, with Asec Mimosas registering two wins over Simba’s one and two draws since 2003.
 
Makolo kwa jinsi walivyochoka hata wakikutana na timu ya Comoro au Shelisheli wanatolewa
 
Halafu huyo Wydad yeye kuna uwezekano mkubwa asifuzu kabisa
Wydad wana hali kama ya Simba mipango yao msimu ujao ni kufanya usajili wa kueleweka kutokana na kufanya vibaya msimu uliopita , Wydad wana bajeti kubwa ni timu kubwa ambayo inatarajia kushiriki Kombe la dunia la Vilabu hawezi kushindwa kufuzu shrikisho na anaweza kulibeba kabisa
 
Football giants Simba SC.

My take:
Football giants Simba SC
 
Wydad wana hali kama ya Simba mipango yao msimu ujao ni kufanya usajili wa kueleweka kutokana na kufanya vibaya msimu uliopita , Wydad wana bajeti kubwa ni timu kubwa ambayo inatarajia kushiriki Kombe la dunia la Vilabu hawezi kushindwa kufuzu shrikisho na anaweza kulibeba kabisa
Unajua msimamo wa ligi yao?, kwanza bado nafasi moja wanayogambania, nafasi ya kwanza hadi ya 3 zimeshachukuliwa.

Pia kumbuka yuko nafasi ya 6 na hana kiporo, tena isivyo bahati kesho anakutana na Raja ambaye msimu huu hajapoteza mechi hata moja na yuko nyuma ya Far Rabat na wote wanautaka ubingwa.

Wydad kwenye FA yao alitolewa, uwezekano wa kumaliza ndani ya top 4 ni mgumu, labda kesho washinde, ila wakifungwa ndo kwa heri.
 
Mzee uko deep sana
 
Upo sahihi lakini haimaanishi msimu unaofuatia watakuwa wabovu , Ligi ya Morocco ni ya moto mno
 
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa.

Simba iniandae na Wydad , Asec na As Vita sambamba na Vigogo wengine watakofuata.
---
Football giants Simba SC should not expect a cakewalk during the next edition of the CAF Confederation Cup against formidable teams that have qualified for the competition so far.

Simba were placed third in the just-ended Tanzania Mainland Premier League to secure a slot in the CAF Confederation Cup. Young Africans (Yanga) and Azam FC will represent the country in the CAF Champions League.

Besides Simba, another team representing the country in the CAF Confederation Cup is Coastal Union of Tanga.

According to the current status of the CAF Confederation Cup, Wydad Club Athletic of Morocco, Asec Mimosas of Ivory Coast, and AS Vita of the DR Congo will feature in the competition after failing to qualify for the CAF Champions League.

Other notable African premier league teams are yet to finish their seasons, with regular teams struggling to secure slots in the CAF Champions League.

History shows that Wydad, Asec Mimosas, AS Vita and Simba had been regulars in the CAF Champions League for several years, posing strong opposition.

Simba featured in the CAF Champions League from the 2018/2019 to the 2023/2024 seasons. In the 2017/2018 edition, the Msimbazi Street giants were eliminated by Al Masry of Egypt following the away goal rule.

Simba recorded a 2-2 draw in the first leg at the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam, and the second leg ended in a goalless draw in Cairo.

Records show that in the 2021/2022 season, Simba featured in the CAF Confederation Cup’s playoff after being eliminated in the second round of the CAF Champions League as per the body’s rules and regulations.

Simba qualified for the CAF Champions League quarterfinals (knockout stage) , but failed to make it to the semis.

For instance, on January 19, 2019, AS Vita Club were ruthless in front of the goal as they demolished Simba 5-0 in the CAF Champions League Group D match at the Stade des Martyrs de la Pentecôte in Kinshasa, the DR Congo.

The records also show that Simba managed to win only one out of four games they played against Wydad Club Athletics in the CAF Champions League since 2011.

The Msimbazi Street giants also have no good records to impress their fans against Asec Mimosas as the teams had five meetings, with Asec Mimosas registering two wins over Simba’s one and two draws since 2003.
Simba vs Wydad katika mechi recently 4 games two wins two defeats.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Simba haiwezi kutolewa raundi ya kwanza kwasababu kuna asilimia zaidi ya 90 kuanzia hatua ya pili. Halafu pia kutokana na ranking alizonazo Simba, lazima atapangiwa vitimu dhaifu zisizokuwa na point kubwa kwenye CAF 5 years ranking. Haiwezi kutokea Simba ikapangwa na timu bora kama Asec kwenye hatua ya mtoano kwasababu wote hao wanakuwa katika list zenye point nyingi katika mashindano ya CAFCC. Japo kwenye mpira inawezekana timu kubwa kufungwa na kitimu kidogo inategemea umejipangaje.

Kuhusu Wydad kucheza CAFCC hilo ni ngumu kwao kwasababu mashindano ya FA kaishatolewa hivyo kabakiza ligi kuu na ambayo yupo nafasi mbaya sana hata top 4 hayupo. Ikumbukwe pia kuwa nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi kuu atachukuliwa endapo kimbe la FA litachukuliwa na Far Rabat ama Raja ila ikitokea tofauti na hapo basi nafasi itaishia kwa timu iliyoshika nafasi ya tatu pekee kwenye msimamo wa ligi kuu.
 
Simba haiwezi kutolewa raundi ya kwanza kwasababu kuna asilimia zaidi ya 90 kuanzia hatua ya pili. Halafu pia kutokana na ranking alizonazo Simba, lazima atapangiwa vitimu dhaifu zisizokuwa na point kubwa kwenye CAF 5 years ranking. Haiwezi kutokea Simba ikapangwa na timu bora kama Asec kwenye hatua ya mtoano kwasababu wote hao wanakuwa katika list zenye point nyingi katika mashindano ya CAFCC. Japo kwenye mpira inawezekana timu kubwa kufungwa na kitimu kidogo inategemea umejipangaje.

Kuhusu Wydad kucheza CAFCC hilo ni ngumu kwao kwasababu mashindano ya FA kaishatolewa hivyo kabakiza ligi kuu na ambayo yupo nafasi mbaya sana hata top 4 hayupo. Ikumbukwe pia kuwa nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi kuu atachukuliwa endapo kimbe la FA litachukuliwa na Far Rabat ama Raja ila ikitokea tofauti na hapo basi nafasi itaishia kwa timu iliyoshika nafasi pekee kwenye msimamo wa ligi kuu.
Confederation hazianzii round ya 2,wote mnaanza Mwanzo maana mnahesabika ni vilaza
 
Sio kweli, nakukumbusha kuwa Berkane, Zamalek, USMA, ni miongoni mwa timu ambazo zilianzia second round msimu huu unaoisha.
Kinachosababisha timu zingine zianzie second round ni kutokana na idadi ya timu zinazoshiriki kwenye mashindano iwe klabu bingwa ama shirikisho.
Kikawaida zinatakiwa timu 64 kwenye klabu bingwa na pia timu 64 kwenye shirikisho ili wakicheza hatua ya raundi ya kwanza zibakie timu 32. Na baada ya hapo inacheza raundi ya pili zinabakia timu 16 zitakazokuwa zimefuzu hatua ya makundi.

Hivyo ikitokea timu zinazokubali kushiriki ni pungufu ya 64, hupelekea timu zingine zisianzie hatua ya awali ili kuweza ku balance timu 32 zitakocheza hatua ya pili.
Mfano tuchukulie timu zilizokubali kushiriki mashindano zipo 52 pekee, hapo kuna gap ya timu 12 kufikisha timu 64. Hivyo timu 12 zitakuwa zimefuzu moja kwa moja kucheza hatua ya pili na hizo timu 12 zitapatikana kutokana na point zao kwenye rank ya CAF.

Kwahiyo itakuwa 52-12= 40
Timu 40 zitacheza hatua ya awali na katika hizo timu 40, timu 20 zitatolewa na timu 20 zitafuzu kucheza hatua ya pili. Sasa unachukua timu 20 unajumlisha na timu 12 zilizofuzu moja kwa moja unapata timu 32 zinapaswa kucheza hatua ya pili ili kupatikana timu 16 za hatua ya makundi
 
Back
Top Bottom