Gari ya kwanza ni kitu personal sana kwa wanaume. Ni kitu personal ambacho ni ndoto ya jinsia hii ya kiume kama vile kwa mwanamke kuwa na ndoa au familia yake na mumewe.
Gari ni ndoto halisi nay...
TANZANIA TUITAKAYO INAJENGWA NA MFUMO WA ELIMU WENYE TIJA.
ELIMU: MSINGI, KING’AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE.
Nchini Tanzania, suala sio kutoa...
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Hakuna namna mwanadamu baada ya ile dhambi ya Adam na Hawa kula tunda la mti wa katikati ataweza kuishi bila kukopa
Ila tunapokopa sana basi tulipe sana vile vile tusitegemee kusamehewa Madeni...
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Kimbembe siku ya kumtoa kwa ajili ya ibada na Maziko.
3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda...
Waziri mkuu wa Armenia, Nikol Pashnyan ametangaza kuiondoa nchi yake kwenye Muungano wa Kiulinzi unaoongozwa na Urusi wa CSTO.
Hayo yamejiri baada ya nchi ya Azerbaijan kulichukua kijeshi jimbo la...
Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.