Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
Katibu mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania Allen Sisi ameitaka Serikali kuufungia Mitandao wa X kwa Sababu unahamasisha mapenzi ya Jinsia Moja
Source: Mwanahalisi Digital
Aidha Uvccm nao...
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka.
Maelezo...
Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.