Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Hii taarifa imezuwa mjadala mkubwa kwa lemgo la kujaribu kupata ukweli wa suala hili. Kwa upande mmoja ni wale wanaoamini kuwa Dr. Nawanda ametenda jambo hilo na upande wa pili wapo wale...
2 Reactions
8 Replies
236 Views
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
20 Reactions
189 Replies
10K Views
Anamaanisha " wee umeisha..hapa umeisha😂😂😂"
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake. Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu...
3 Reactions
20 Replies
370 Views
Shalom wana jf Iko hivi, kuna huyu dada ni mzuri sana, nko naye kwenye mahusiano Kwa muda sasa!!! Ni boss flani hivi ana kampuni zake kama mbili kubwa In short ana mawe!!! Tatizo n...
4 Reactions
38 Replies
533 Views
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
8 Reactions
101 Replies
1K Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
5 Reactions
35 Replies
762 Views
Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
1 Reactions
7 Replies
281 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,313
Posts
49,853,918
Back
Top Bottom