Niko job of sin kuna Mfanyakazi mwenzangu kaja na fomu ya mkopo wa bank nilipojaribu kuisoma kujua mashariti Tao nimegundua kipengele cha dhumuni la mkopo ikanibidi ma Mimi nivae viatu vya...
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga...
Unaanzaje kwa mfano?
Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?
Hamuoni kama mnawapa dhambi?
Ni kweli masister wa sasahivi ni...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
WAUNGWANA.
Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff.
Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.