Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,958
12,931
Unaanzaje kwa mfano?

Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?

Hamuoni kama mnawapa dhambi?

Ni kweli masister wa sasahivi ni wadogo halafu ni "pisi kali" hasa hapo RuCu, labda mnaingia vishawishi vya kuwatongoza huko kwenye discussion za magroup.

Ila jaribuni kujizuia.
 
Hao watawa NDIO wazuri sasa cuz ni watakatifu... Kwa hiyo ukiwanyandua haupati dhambi na kama ulikuwanazo unafutiwa zoote pyuuuu
21-04-44-images.jpg
 
Kuna jamaa yangu alikuwaga anamla Sister mmoja alikuwa mkuu wa nursery school ya watoto wake Ukonga, Sister alikuwa bomba huyo, siku ya kumla Sister alikuwa anadanganya anaenda head office kumbe jamaa anaenda kummaliza. Mie mwenyewe nilipomuona mate yalinitoka.
 
Back
Top Bottom