Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
17 Reactions
66 Replies
3K Views
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
6 Reactions
65 Replies
461 Views
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni...
33 Reactions
248 Replies
45K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views
Habarini za Jioni hii wakuu na watz wenzangu, poleni kwa majukumu ya siku nzima na wale ambao ndio mmeingia kazini poleni na kazi pia. Nimeweka huu uzi tujaribu kushirikiana kwenye hili jambo...
1 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
7 Reactions
297 Replies
5K Views
Rafiki yangu na ndugu yangu Richard Massawe kutoka Rombo huu ni ujumbe wako Ndugu yangu na marafiki zangu wa MMU naombeni mnisaidie ili napate hela yangu (3,000,000/=) ambazo nilimuazima member...
14 Reactions
107 Replies
10K Views
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis. Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Kifupi tu. Raia wengi wananitolea mijicho kama nmekula chao. Huyu dada alikuwa mke wa jamaa yangu sana. Jamaa tulisoma naye sekondari. Mwaka juzi jamaa akavuta mkoani knjaro.ila wakati afya yake...
7 Reactions
18 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,467
Posts
49,831,087
Back
Top Bottom