Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote? Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango Taarifa kamili hapo chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla...
10 Reactions
106 Replies
5K Views
Salaam, shalom!! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na Leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee. Jambo jingine...
4 Reactions
23 Replies
257 Views
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubari zaidi 1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders ...
0 Reactions
4 Replies
13 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke. Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume. Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
10 Reactions
109 Replies
1K Views
Salaam,Shalom. Matatizo ya Wananchi ni ya kimfumo, hivyo chama Cha MAPINDUZI CCM kisipoteze muda kujaribu kuhadaa wananchi kuwa kinaweza kutatua kero za wananchi katika ziara majukwaani kana...
2 Reactions
7 Replies
311 Views
TFF hebu oneni aibu basi, inakuwaje Tuzo za ligi ya msimu huu zikafanyike mwanzo wa msimu mwingine? Hili linashangaza sana maana mmeamua kuvunja hata kanuni yenu wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11...
5 Reactions
24 Replies
645 Views
Kama picha inavyojieleza
3 Reactions
8 Replies
259 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,431
Posts
49,746,408
Back
Top Bottom