Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate aziz ki to stay . what a great move . Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation . We wait . Will he stay...
2 Reactions
5 Replies
198 Views
Wakuu, kwema. Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine. Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika...
0 Reactions
18 Replies
241 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
9 Reactions
38 Replies
495 Views
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka. Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
15 Reactions
136 Replies
3K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
27 Reactions
513 Replies
16K Views
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge.. Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana...
7 Reactions
16 Replies
120 Views
Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
7 Reactions
35 Replies
464 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,434
Posts
49,691,137
Back
Top Bottom