Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote
Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
Najua ni ngumu/haiwezekani kubadili taratibu au mambo fulani za kiimani japo unaweza kukuta yanakukera.
Maana kuna mambo mengi tumeyakuta yakifanywa na watangulizi wetu na sisi tumekuzwa ktk hayo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
Samahani kwa kuwachosha wanajamvi, naomba ushauri wa mawazo ambao unaweza kunisaidia mimi na mwenza wangu.
Nilikutana na binti ambaye bado ni bikira na nimefanya maamuzi awe wangu wa maisha...
Jeuli na kibuli, Mwanamke kiburi na jeuri uchumbani ni sawa na mtu aliebanwa na mkojo kwenye basi atajibana utaona umepata wife material anasubiri ndoa achimbe dawa.
hakuna mwanaume anayeweza...
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo.
Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi.
Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.