Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
1 Reactions
4 Replies
45 Views
Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
49 Reactions
389 Replies
46K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
  • Sticky
Wakuu habari ya muda, Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania. Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya...
35 Reactions
600 Replies
229K Views
Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete
3 Reactions
20 Replies
512 Views
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako? Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi...
7 Reactions
100 Replies
16K Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
2 Reactions
212 Replies
3K Views
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika. Simba SC Zamalek SC...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke
2 Reactions
17 Replies
498 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,946
Posts
49,815,482
Back
Top Bottom